International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Simulizi za haki za binadamu nchini China zinaanza kujitokeza katika zama mpya ya mageuzi ya kina na mabadiliko ya kihistoria. Ni hatua kubwa katika juhudi za China za kuondokana na umasikini na...
1 Reactions
1 Replies
322 Views
Mabadilishano ya kirafiki kati ya China nan chi za Afrika, amayo yamedumu kwa muda mrefu, yameongezeka zaidi katika miaka ya karibuni, na kuhusisha Nyanja mbalimbali ikiwemo siasa, uchumi na...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Marekani inaonyesha dalili za kesi yake sugu ya wasiwasi juu ya China wakati ikitumia vyombo vya habari na maoni ya umma kuchafua maendeleo ya China kwa kutumia maneno kama “kuanguka kwa China,”...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Amakuru, Hayo ni maneno ya Rais General Paul Kagame, akiviasa vyombo vya usalama Kikao hicho kilifanyika baada ya vile vikao na mabalozi wa Rwanda katika nchi mbalimbali ambao nao aliwaeleza Kwa...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Yaani watu 38,514 kuuawa sio mchezo, hesabu mmoja mmoja mpaka unafikia hiyo namba, na yote hiyo kisa ujinga wa kidini uliofanywa na HAMAS magaidi wa uislamu, sasa wanalegeza misimamo huku...
1 Reactions
0 Replies
371 Views
Mwaka 2019 serikali ya Marekani chini ya aliyekuwa raisi wakati huo Donald Trump, iliweka sheria ya kutotumia huduma na vifaa vya Huawei katika idara nyeti za usalama wa taifa hilo. Sababu kuu...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Mchina ana safari ndefu. Bado raia wa USA wanaongoza kwa mikwanja mirefu. Mchina hayupo top ten. Yule wa kaskazini kapotea maziwa.
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Mazayuni wamesalimu amri na mateka wameshaanza kubadilishana mateka kwa awamu ya kwanza na mapigano ya mesitishwa ghafla. https://youtu.be/90SYtbCFhEY?si=NPHF_55HMs-H5Giw Inaonsha kuna...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza, Keir Starmer, baada ya kuchaguliwa kushika nafasi ya Rish Sunak, ameahidi kutotimiza mpango wa kuwapeleka nchini Rwanda Wahamiaji haramu. Ikumbukwe Wahamiaji hawa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
The Kyiv Post has published exclusive footage revealing Ukrainian special forces, alongside Syrian opposition fighters, conducting attacks on Russian military positions in the Golan Heights region...
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Kumekuwa na gumzo kubwa Marekani ambapo watu wanashauri Biden apumzike asigombee kwa awamu nyingine kwa sababu ya umri. Ona mzee Biden alichowajibu; "Ikiwa Bwana Mwenyezi angeshuka na kusema Joe...
5 Reactions
59 Replies
2K Views
Safari ya kwanza ya kimbunga ya David Lammy kama waziri wa mambo ya nje wa Uingereza, iliyoandaliwa kwa taarifa fupi sana, haihusu matokeo ya papo hapo au hata upeo mpya wa ujasiri. Yote ni...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Uiengereza miaka hii inabadili viongozi kila baada ya miezi michache na mara nyengine miaka.Imekuwa kama Somalia.Sijui wamepatwa na nini au ni laana ya kudhulumu uchumi wa waafrika kwa muda mrefu...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Rais Kagame mpenda dili na mabeberu kupiga hela amepata pigo baada ya mpango wake kuleta wakimbizi wanaotaka kuingia Uingereza kuzuiliwa Rwanda kupata pigo kwa washirika wake Conservative Party...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
USA🇺🇸 anazidi kupaa tu kila mwaka. Russia hayupo tena top 10. Putin anapotea Maxima Kwa hiyo gap, China apambane Sana, alafu ana population kubwa, 1.4 billion, mwenzie familia ndogo. Labda...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Utabiri baada ya kura kupigwa nchini Uingereza unaonesha kuwa chama cha Labour kimeibuka na ushindi wa kishindo, huku kiongozi wake, Keir Starmer akielekea kuchukuwa nafasi ya Rishi Sunak kama...
1 Reactions
13 Replies
968 Views
Askofu Mkuu wa Italia Carlo Maria Viganò, aliyekuwa balozi wa kipapa nchini Marekani ambaye aligeuka kuwa mkosoaji wa kihafidhina wa Papa Francis, amefukuzwa kutoka kanisa kwa ajili ya kuzua...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Vincent Biruta baada ya kutia saini mkataba mpya huko Kigali Desemba 5, 2023. Picha na Ben...
1 Reactions
5 Replies
764 Views
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la Rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpakani mwa Lebanon kupambana na Hizbolah...
14 Reactions
121 Replies
6K Views
Nimeona na kusikia mpango wa mazungumzo ya kuachiwa kwa mateka wanne wa israel wanaoshikiliwa na Hamas. Nimeshangaa sana. 1. Hamas wanafanya njni na hawa watu ambao hawana maana yoyote kwao? Na...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…