International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais Joe Biden amesema hataondoka kwenye kinyang'anyiro cha kutetea nafasi ya Urais na kuonya kuwa Donald Trump wa Republican ni tishio kubwa kwa chama chake. Biden (81) amesema hayo katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nato yaapa kuchukua njia ambayo 'hairudi nyuma’ katika kuipatia uanachama Ukraine CHANZO CHA PICHA,REUTERS Wanachama wa Nato wameahidi kuunga mkono "njia isiyoweza kurudi nyuma" kuelekea...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi naamini kua Kwa Sasa Urusi Iko vitani na NATO. Nae USA ni Mkuu wa NATO. Lkn wapo pro NATO wanakuambia hapana Urusi Iko vitani na Ukraine peke yake,NATO haimo,wanaenda mbele Wana sema nchi...
19 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote. Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Polisi nchini Iran walifunga ofisi ya Shirika la Ndege la Uturuki katika mji mkuu wa Tehran, vyombo vya habari vya Irani viliripoti Jumanne, baada ya wafanyakazi wa kike huko kukataa kuvaa hijabu...
15 Reactions
88 Replies
13K Views
Taarifa ya Polisi imeeleza Watoto 22 wamepoteza maisha huku zaidi ya 130 wakijeruhiwa baada ya jengo la Shule ya ‘The Saint Academy’ kuporomoka katika Jimbo la Plateau. Wananchi waliofika mara...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Mzee Biden aachie ngazitu. Jioni hii amemwita Zelensky President Putin. Katika mkutano mkuu wa NATO. Mzee Putin waachie vijana ursis.
12 Reactions
50 Replies
3K Views
cal Patrick Karegea ameuwawa huko afrika kusini alikokimbilia baada ya kuasi serikali ya kagame..mwili wake umekutwa ukiwa na majeraha ya risasi.. Exiled senior Rwandan Karegeya found dead in...
3 Reactions
180 Replies
32K Views
What a year it’s been for the planet’s billionaires, whose fortunes continue to swell as global stock markets shrug off war, political unrest and lingering inflation. There are now more...
2 Reactions
6 Replies
859 Views
Wanachama wa Nato wameahidi kuunga mkono "njia isiyoweza kutenguliwa" kwa uanachama wa siku zijazo wa Ukraine, pamoja na misaada zaidi. Wakati ratiba rasmi ya kujiunga na muungano wa kijeshi...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Russia imezikaanga HIMARS za Marekani zilikua zikijiandaa kufanya shambuliwa Crimea ....🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨UKRAINIAN AIR DEFENCE IN TROUBLE - STAROKONSTANTINOVKA AIRPORT UNDER ATTACK ... Russian troops...
4 Reactions
3 Replies
887 Views
"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe. Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe. Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni...
13 Reactions
28 Replies
3K Views
Kiongozi wa Ukraine anahimiza ulimwengu kuungana dhidi ya Moscow Hakuna nchi inayoweza kustahimili vita na Urusi peke yake - Zelensky Vladimir Zelensky wa Ukraine ameitaka jumuiya ya kimataifa...
11 Reactions
52 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Kwa waliopo marekani mkuje mtujuze haya. 1. Matumizi ya Silaha huko majuu yakoje kwasababu tunasikia Sana watu wanagongana Sana risasi Hadi sio poa...
1 Reactions
2 Replies
611 Views
Nigeria - uchumi mzuri ila kuna ukabila wa hali ya juu sana kila siku biashara na nyumba za wa igbo zinabomolewa na kuchomwa bila notice ama notice ya masaa mawili, kuna makundi yenye itikadi kali...
9 Reactions
86 Replies
3K Views
Mtandao wa CNN umeripoti kuwa Baadhi ya Makada wa chama cha Democrats wametaka Rais Joe Biden ajiondoe kama mgombea wa Urais wa chama hicho Wanachama hao wameonesha kutokuwa na imani nae baada ya...
2 Reactions
8 Replies
865 Views
Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo. Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Washirika wa kundi la kidini Nchini Australia wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kumuua Binti aitwaye Elizabeth Struhs mwenye umri wa miaka nane mwenye kisukari kwa kumnyima matibabu na badala...
0 Reactions
4 Replies
523 Views
VITA BADO INAENDELEA SEHEMU I/♾ Bado zinachapwa huko sudani CHANZO CHA MGOGORO Mgogoro huu unaanzia mbali kabisa wakati wa Rais wa zamani wa Sudan Omary Bashiri. Omary bashir aliingia...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwanini mashoga wengi wanamchukia Putin? Kwanini mashoga wengi wanaichukia Urusi? Kwanini mashoga wengi hawaipendi pia China korea kaskazini na Iran? Kwanini mashoga wakisikia tu jina la Putin...
21 Reactions
46 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…