Polisi wa Iran wafunga ofisi ya Turkish Airlines kufuatia wafanyakazi wake wa kike kukataa kuvaa hijabu

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
14,076
16,979
Polisi nchini Iran walifunga ofisi ya Shirika la Ndege la Uturuki katika mji mkuu wa Tehran, vyombo vya habari vya Irani viliripoti Jumanne, baada ya wafanyakazi wa kike huko kukataa kuvaa hijabu ya lazima, au hijab, kwa kitendo cha kukiuka sheria za nchi.

============

Tehran police close Turkish Airlines office after its employees defy Iran's headscarf law


Police have shut down the Turkish Airlines office in the Iranian capital after female employees there apparently refused to wear the mandatory headscarf, or hijab, in an act of defiance of the country's laws
ByAMIR VAHDAT Associated Press

TEHRAN, Iran -- Police in Iran shut down the Turkish Airlines office in the capital of Tehran, Iranian media reported Tuesday, after female employees there apparently refused to wear the mandatory headscarf, or hijab, in an act of defiance of the country’s law.

The semi-official Tasnim news agency said police officers went to the Turkish Airlines office in Tehran on Monday to issue what is called a first warning over the “non-observance of hijab” by the company's employees.
However, the employees — who are Iranian nationals — reportedly “made trouble for the police officers,” prompting the closure. The Tasnim report said police subsequently sealed the office over the employees’ behavior.

According to Tasnim, the Turkish Airlines office will be allowed to reopen on Wednesday and resume business as usual, something that the police did not confirm. The report further said that police would not seal any business due to the non-observance of hijab but issue first warnings.

There was no immediate comment from the Turkish Airlines over the incident in Tehran.

An open defiance of the headscarf law erupted into mass protests across Iran following the September 2022 death of 22-year-old Mahsa Amini after her arrest by the country’s morality police. While those demonstrations appear largely to have cooled, the choice by some Iranian women to remain uncovered in the street poses a new challenge to the country’s theocracy.

Iranian authorities have over the past years shuttered hundreds of businesses across the country — from shops, restaurants to pharmacies and offices — for quietly allowing their female employees to forgo wearing the hijab.
That reinforcement was intensified in the months running up to Iran’s presidential election in June to replace the late President Ebrahim Raisi who died in a helicopter crash a month earlier.

The fracas at the Tehran office of the Turkish Airlines took place on the same day as Turkish President Recep Tayyip Erdogan called Iran's President-elect Masoud Pezeshkian to congratulate him on his win in Iran's presidential runoff last week.

Pezeshkian bested hard-liner Saeed Jalili in the election by promising to reach out to the West and ease enforcement on the country’s mandatory headscarf law after years of sanctions and protests squeezing the Islamic Republic.

The state-run IRNA news agency quoted Tehran Prosecutor Ali Salehi as saying that no legal proceedings or ruling had been issued regarding the sealing the Turkish Airlines office in Tehran.

Iran and Turkey have maintained good relations and in 2023, the volume of bilateral trade between the two stood at $5.4 billion. Turkey is also a popular tourist destination for Iranians, with some 2.5 million visiting last year.

Turkish Airlines is a favored carrier among Iranians because of the shorter travel time to the United States and Canada, compared to other long-haul flights from Arab countries in the Persian Gulf.

ABC News
 
Duh! Vyuma vimeumana. Shida waturuki wanajihisi Westerners zaidi kuliko Middle Easterners. Pamoja na kuwa chimbuko la himaya kuu ya kidini ya Ottoman hawajawahi kupenda utamaduni wa uvaaji wa mashariki ya kati. Ngoja tuone kipi chuma cha pua kati ya wawili hao.
 
Safi polisi wa maadili kamatieni hapo hapo
Kama hawataki waende kwa wazayuni wakafanye upuuzi wao wanaoutaja
Tatizo la mashabiki maandazi mwadhani Shia wanawapendeni nyie Suni.. la hasha Suni ni kafir mbele ya Shia.. and Shia wanaamini Quran imebadilishwa na Suni. Ndio maana imejaa ujinga from page to page.. uzuri kuna Aya 4;82 imeandika ukikuta aya zinapingana na za kijinga na uongo ujue haijatoka kwa Allah and zile Ayat za Shetan zilizoahidiwa kuondoshwa kwenye Quran bado zipo na mnazifuata na kuzitetea.. ikiwepo kusujudia watoto wa Allah kina Al-Uzza, Manat na Al-lat
 
Tatizo la mashabiki maandazi mwadhani Shia wanawapendeni nyie Suni.. la hasha Suni ni kafir mbele ya Shia.. and Shia wanaamini Quran imebadilishwa na Suni. Ndio maana imejaa ujinga from page to page.. uzuri kuna Aya 4;82 imeandika ukikuta aya zinapingana na za kijinga na uongo ujue haijatoka kwa Allah and zile Ayat za Shetan zilizoahidiwa kuondoshwa kwenye Quran bado zipo na mnazifuata na kuzitetea.. ikiwepo kusujudia watoto wa Allah kina Al-Uzza, Manat na Al-lat
Haya uliyoandika mbona hayafanani na mada iliyopo ya Irani hijabu zao na wanawake wa kituruki

Nyinyi wagalatia mnashida sana kudanganywa mdanganywe na Wazungu chuki zenu mnawapelekea waislam

Mlivyo wajinga lile sanamu la bikira Maria mlioliweka kanisani mmelivisha hijabu alafu nyinyi hamtaki hijabu Kwa kudanganywa na Wazungu
 
Umagharibi umewajaa mpaka sasa munashikana mikono mwanaume kwa mwanaume munaona sawa tu ndio modest.,
Hata Wananchi wengi zaidi wa nchini Iran kwenyewe hawakubaliani na misimamo ya kidini isiyofaa ambayo inachukuliwa na Watawala wa nchi hiyo.
Je, Sasa hao Wananchi wa Iran ambao wanapingana na misimamo ya kidini ya watawala wa huko wamekuwa ni Raia wa nchi za Magharibi??
 
Kuna wakati Ethiopian Airlines waliajiri 100 Chinese air hostess
Sote tunafahamu ma air hostess wa Ethiopia wanavyokubalika na airlines nyinyi
What happened ni kwamba Ethiopian Airline Ina 5 routes to China daily, na it seems hiyo route is one of the profitable route so Ili ku maintain customer base Yao wakaamua kuajiri air hostess ambao wataendana na route Yao
Kibiashara sioni sababu Turkish Airlines staff kugomea kuvaa hijab kama takwa la kisheria nchini Iran kwa gharama ya kukosa biashara ya Iran

Ukiangalia Cost-Benefit unaona Wanakosa biashara kwa sababu za kijinga

Ila kwa upeo wangu sidhani kama wamekuwa wajinga kiasi hicho


Regards
 
Niambieni kama wanawake wenye hijabu huolewa wakiwa mabikira lasivyo vyote ni unafiki.
Hijabu ni vazi tu halina uhusiano na ubikira .Yasikutishe ohh nataka kuoa mwanamke anayejistiri na hijabu .Utakuja pata mshtuko wa mwaka na kupata pressure bure kukuta ana shimo kubwa wazi kama shimo la Jehanamu au la Ngorongoro crater alishabikiriwa siku nyingi na kushughulikiwa mara kwa mara na wanaume wengi tofauti tofauti wenye marungu ya kila saizi small,medium , large na largest

Vizuri mtu ajiandae kisaikolokia aseje oa kwa kigezo cha kuvaa nguo za kujistri anasitiri vingi na vibaya vikiwemo
 
Back
Top Bottom