International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Marekani, Joe Biden (81) yuko karantini kwa muda baada ya kupimwa na kugundulika kuwa na ugonjwa wa UVIKO-19, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Marekani, White House. Ugonjwa huo...
1 Reactions
7 Replies
918 Views
Hatupaswi kulipa Uingereza kwa mkataba uliovunjwa - Rwanda Rwanda imesema haitakiwi kuirudishia Uingereza pesa baada ya makubaliano ya mamilioni ya pauni ya wahamiaji kati ya nchi hizo mbili...
1 Reactions
3 Replies
652 Views
Kutupeleka Rwanda haukutuzuia kufika Ulaya Maelezo ya picha,Bahabelom Mengesha, ambaye kwa sasa anaishi Zurich, alipelekwa Rwanda na Israel mwaka 2014 Huku Uingereza ikiendelea na mpango wake...
2 Reactions
5 Replies
894 Views
Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili. Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana...
6 Reactions
34 Replies
7K Views
Sina maelezo lakini nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ === Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Sudan Kusini Mh. Mabior Garang De Mabior ambaye ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Sudan Kusini na kiongozi wa zamani wa...
5 Reactions
20 Replies
17K Views
Kuna nchi zina shida humu duniani jamani, mfano Hait. 1. Kwa jinsi intelijensia ilivyo kali ya US, je, kwa nini washindwe kudhibiti usafirishaji wa silaha kutoka US kwenda kuchafua hali ya hewa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi Kama mtu mwingine tu mwenye interest na mambo ya usalama nawaza mengi kwenye shambulio la Trump.. Secret service kazi yao ya kwanza wakiwa na 'target' ni kuassess threat... Hapo secret...
20 Reactions
100 Replies
14K Views
Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Mmoja ana miaka 84 na mwingine 72. Ila afya zao zinafanana. Kimwili na kiakili. Biden tumeshudia akianguka mara kwa mara kwa kukosa stamina ya mwili. Tumemsikia mara kadhaa akiongea kwa...
0 Reactions
8 Replies
636 Views
Serikali ya Iran imekanusha madai ya Idara za Usalama za Marekani kuwa nchi hiyo ilihusika na jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa zamani na Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump ambaye...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii ni risasi iliyomkosa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump. Nawaza kule kugeuka geuka ndiyo kulimsaidia! Au mnasemaje CIA, FBI, MOSSAD na MI6 wa bongo...
19 Reactions
85 Replies
14K Views
Marekani, chama cha Republicans kina Rais mmoja mstaafu, George Bush na makamu watatu wa Rais wastaafu, Dan Quayle, Dick Cheney na Mike Pence. Kwa nini huwa hawaalikiwi kabisa au hata angalau...
2 Reactions
5 Replies
660 Views
Baada ya Wanamgambo wa NATO kukimbia Afghanistan kwa kasi ya mwendo wa Ngiri mkia juu na kutelekeza Silaha Vifaru ndege na zana zingine kuwaachia Taliban, Military base zote kama Bagram Military...
11 Reactions
74 Replies
3K Views
Ndugu zangu watanzania, Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump amemteua mgombea Mwenza wake Mwenye Umri wa Miaka 39 anayefahamika kama J.D Vance ambaye amewahi kutoa maneno makali sana...
2 Reactions
13 Replies
11K Views
Nimejisikia unyonge kuona pamoja na kash-kash za Iraq bado wana shirika la ndege imara duniani. Hapa kwetu wapinzani wananuna ndege zikinunuliwa.
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Records show he was registered as a Republican voter in Pennsylvania, but previously made a $15 donation to a Democratic aligned group, Source Meg Oliver CBS News, Ila wa hapa wanadhani Lissu...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Wabunge wa Gambia Jumatatu waliidhinisha marufuku ya mwaka 2015 dhidi ya ukeketaji licha ya shinikizo kutoka watu wenye mila za kidini katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, wakitupilia mbali...
0 Reactions
2 Replies
677 Views
THE WRITING ON THE WALL "When you see that in order to produce, you need to obtain permission from men who produce nothing,when you see that money is flowing to those who deal, not in goods, but...
1 Reactions
4 Replies
617 Views
Wale jamaa na wamama nimewakubali kuliko walinzi wote niliowahi kuwaona. Wamefanya kazi kwa welediwa wa hali yajuu, tena wakiwa na sura tulivu zisizopanic hadi wakampa Trump morali ya kutamba...
6 Reactions
5 Replies
966 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…