Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,429
- 17,902
Mmoja ana miaka 84 na mwingine 72. Ila afya zao zinafanana. Kimwili na kiakili. Biden tumeshudia akianguka mara kwa mara kwa kukosa stamina ya mwili. Tumemsikia mara kadhaa akiongea kwa kukoseakosea au akipoteza kumbukumbu. Na jana kuna taarifa amepata maambukizi ya uviko19.
Kwa upande wa Salva Kiir huyu afya yake ya mwili ni dhaifu kiasi cha kumfanya atembee na bakora. Kuna video iliwahi trend ikimwonyesha akijikojolea wakati mwimbo wa taifa ukipigwa. Hata ule mwonekano wake unaonyesha huyu mzee ni mgonjwa. Kwa upande wa afya ya akili tulimshuhudia akipata wakati mgumu hutoa hotuba yake kwenye mkutano wa UNGA pale New York Umoja wa Mataifa. Tulimsikia akishindwa kuwatambulisha baadhi ya viongozi wa jumuia ya Afrika Mashariki.
Wote. Biden na Salva Kiir ni wagonjwa wa afya ya mwili na akili.