Maajabu: Iraq Airways still operational!!

Iraq Airways iko vizuri sana. Ina route za London, Frankfurt na kwingineko!

Wakati mwingine unajiuliza shida yetu waTanzania ni nini? Maana hatuishiwi visingizio. Hata huyo aliyepewa ku-manage ATC sasa hivi, ingawa ndege zinanunuliwa...shirika likifanya vibaya au likafa...utaambiwa ni Serikali! We are very quick to blame the government forgetting kwamba sisi ndo tunakalia hizo nafasi na kufanya maamuzi. Pathetic!
 
Rais akinunua ndege mnalalamika pangaboi, sio za muhimu, gharama, anasa, Hakuna wa kupanda. Iraq airways inafanya Kazi mnataka na ATCL ifanye kazi sijui mnataka nini nyie watu hata nyie wenyewe itakua hamjui mnataka nini
 
Shirika la serikali,imenunua serikali mwajiri serikali why isilaumiwe likifa?Kwani ndege za kwanza zimeuliwa na sisi au serikali?Waziri anasafiri bure halipi nauli nani wa kulaumiwa?
Ikifa precision air hakuna atakayeilaumu serikali ila ATCL serikali inawajibika nayo 100%,
 
Iraq Airways iko vizuri sana. Ina route za London, Frankfurt na kwingineko!

Wakati mwingine unajiuliza shida yetu waTanzania ni nini? Maana hatuishiwi visingizio. Hata huyo aliyepewa ku-manage ATC sasa hivi, ingawa ndege zinanunuliwa...shirika likifanya vibaya au likafa...utaambiwa ni Serikali! We are very quick to blame the government forgetting kwamba sisi ndo tunakalia hizo nafasi na kufanya maamuzi. Pathetic!
Tatizo ni CCM
 
Rais akinunua ndege mnalalamika pangaboi, sio za muhimu, gharama, anasa, Hakuna wa kupanda. Iraq airways inafanya Kazi mnataka na ATCL ifanye kazi sijui mnataka nini nyie watu hata nyie wenyewe itakua hamjui mnataka nini
Umelogwa ww
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimejisikia unyonge kuona pamoja na kash-kash za Iraq bado wana shirika la ndege imara duniani. Hapa kwetu mizee kwenye BODI ya ATCL wanagawana miposho tu.Na ndege mpaka Aseme Mheshimiwa wao ni kubunya tu.

Kuna na maajabu mengine mtu utayaona ukilinganisha baadhi ya nchi za kiafrika ikiwemo Tanzania. Viwanda vya Syria vinaendelea kupiga mzigo na Ku export products licha ya vita, nchini Kongo DRC umeme unaendelea kuzalishwa na kugawiwa bure wakati nchi in vitani leo mwaka wa 15. etc etc. Acha bwana, yetu macho!!!
 
Back
Top Bottom