THE WRITING ON THE WALL
"When you see that in order to produce, you need to obtain permission from men who produce nothing,when you see that money is flowing to those who deal, not in goods, but...
Wale jamaa na wamama nimewakubali kuliko walinzi wote niliowahi kuwaona. Wamefanya kazi kwa welediwa wa hali yajuu, tena wakiwa na sura tulivu zisizopanic hadi wakampa Trump morali ya kutamba...
Tuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama
Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani?
Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi
===
Soma Breaking News: - Marekani: Donald...
Mh, mwamba anapambana sana! Hata akishindwa tunalo la kujifunza nalo ni kutokukata tamaa kwa namna yoyote ile!
US judge in Florida dismisses classified documents case against Trump
A judge in...
Endelea kusoma kwa Kiingereza.
IDF waited weeks to strike Salameh’s compound in hope Deif would visit — report
Military believed Hamas military chief would likely join his close ally at some...
Early Sunday morning, the Vatican condemned acts of violence in the wake of the shooting that injured former U.S. President Donald Trump and others and left one dead at a campaign rally in...
Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa?
Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii...
Ndugu zangu Watanzania,
Sote naamini tunaendelea kufuatilia taarifa ambayo imeisimamisha Dunia nzima na kuitikisa pamoja na kuteka vyombo vyote vya habari na mitandao ya kijamii ulimwenguni kwote...
Channel 12 airs footage of an explosion three nights ago in the area of Iran’s main drone manufacturing plant near the city of Kashan.
The video, taken from a main road, shows what appears to be...
Matokeo ya awali yanaonesha Paul Kagame amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kushinda uchaguzi wa Jumatatu kwa zaidi ya 99% ya kura.
Kagame mwenye umri wa miaka 66 alishinda uchaguzi wa 2017 kwa...
Greetings....
Direct to the point, Psychological warfare is being waged upon you but most have no idea they are on the battlefield.
It's time people admit that the mainstream media's job is not...
Tume ya Uchaguzi ya Namibia (ECN) imeeleza wasiwasi wake kuhusu idadi ndogo ya watu wanaojiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi ujao ikiwa zimebaki wiki mbili tu.
Hayo yamesemwa na afisa...
SHORTFALLS OF WESTERN DEMOCRACY IN AFRICA
Democracy can take different forms depending on nature and composition of the country in question. Democracy in the USA isn't the same as that in Canada...
Ukifuatilia kwa karibu jinsi risasi zilivyomiminwa kuelekea alipo kuwa amesimama mgombea Urais D.Trump, kwakweli kama ahadi yako ya kufa haijafika huwezi kufa. Amekufa mshabiki wake mmoja yeye...
Hatuwezu kaa Kimya huku Democrasia ikiwa kwenye majaribu makubwa sana, tunaitaka Serikali kupitia Balozi wake au kupitia waziri wa mambo ya nje watoe tamko rasimi la kulaani Jaribio la kutaka...
Tukio hili ni aibu kubwa kwa taifa kubwa la Marekani ambalo linajinasibu kuwa na uhuru mkubwa wa demokrasia.
inamaana kama hamumtaki mgombea njia ni kumuuwa?
Pole kwa Trump na wanachama wote wa...
Mambo yanazidi kuwa mambo Mashariki ya kati. ... Anyway, twende kazi.
Mfalme wa Jordan Abdullah wa pili ameruhusu NATO kusimika makao yake makuu (HQ) mapya jijini Amman nchini Jordan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.