Wapiganaji wa Hamas chini ya kiongozi wao mpya Yahya Sinwar imesema haitashiriki kwenye mazungumzo yaliyopangwa kufanyika wiki hii.
Badala yake kundi hilo ambalo limepigana na Israel kwa takriban...
Marekani ni taifa ambalo mara nyingi linaonekana kama mfano wa demokrasia kwa mataifa mengine duniani. Hata hivyo, kuna muktadha wa kipekee ambao unahitaji kuangaliwa kwa karibu: wakati nchi hii...
Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris.
Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya.
Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti...
Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria...
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
Mahakama ya malindi imemuruhusu Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma DPP) kuondoa kesi ilyokuwa inaendelea inayohusisha kiasi cha cha billion ksh 8.5 za chuo cha Utalii dhidi ya aliyekuwa waziri wa...
Pamoja na ushabiki wetu, tunakumbusha tu Iran kuna wayahudi wengi tu na wanaendelea Kula maisha bila bugdha yoyote.
Video ya kuvutia sana.
Wayahudi wa Iran mjini Tehran wakisherehekea kuhitimu...
Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD
1)- Johannesburg πΏπ¦12,300
2)-Cape Town πΏπ¦7,400
3)- Cairo πͺπ¬7,200
4)- Nairobi 4,400
5)- Lagos π³π¬ 4,200
6)- Cape Winelands...
Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi.
Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na...
Jeuri ya serikali ya Ujerumani kutaka kuendelea kwa vita baina ya Ukraine na Urusi zimekufa baada ya nchi hiyo kuamua kusitisha misaada yote ya kijeshi iliyokuwa imeahidi kutokana na bajeti za...
BURUNDI: Mtangazaji wa kipindi cha mazungumzo ambaye wa taifa la Burundi aliyefungwa jela kwa kuhujumu uadilifu wa taifa la Burundi amesamehewa.
Floriane Irangabiye alikuwa ametumikia miezi 18 ya...
Rais wa Malawi, Peter Mutharika wikendi iliyopita alimshukia muhubiri maarufu nchini Nigeria, T.B Joshua wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) kufuatia taarifa kuwa mhubiri huyo...
Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa
Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka...
Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia.
Ni jambo la kushangaza kuona jinsi...
Bilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti..
===
A...
Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la...
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.
Na...
Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael.
Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na...
Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi.
Wanajambo lao ambalo huwendavmm na...