Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Bulelaa

JF-Expert Member
Jun 28, 2024
609
1,451
🤣🤣

Acha tu nianze na kicheko

Lakini pili:

Napenda kujivunia nchi yangu Tanzania na Watanzania wenzangu wengi ambao licha ya kutofautiana dini, lakini bado, namna tunavyoishi, ni mfano wa ndugu wa damu moja ingaweje kuna baadhi ya wachache washika dini ambao hutaka kulazimisha kutaka kushikamana na mafundisho ya chuki dhidi ya wengine

Jambo la tatu, Naipongeza serikali yangu ya TANZANIA, jinsi ilivyo makini hasa katika kusimamia uhuru wa kuabudu na kuwachukulia hatua wowote wenye kutaka kuleta sintofahamu za kidini

Asante TANZANIA kwa kuendelea kusimamia misingi yote ya kulinda Imani zote na kuacha uhuru wa kuabudu, Jambo moja lingine la kujivunia ni kwamba, twaweza kuwa chini kielimu lakini Elimu ihusuyo Dini, tunaimudu vema na haituzingui, waarabu wao waendelee na imani yao isiyotambulika na dini zote hapa nchini, wao kuwa na utamaduni wa kujilipua mabomu na kuleta taharuki

Nikirejea kwenye mada sasa...!

Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian

Unakejeri nchi za watu na kuwaita Makafiri, halafu wewe ndo unaomba kuhamia huko na usivyo na ustarabu sasa, tabu tupu

Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu wa huko makafiri

Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!

Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri

Je? Kafiri anaweza kumlea mwislamu asiyependa makafiri?
 
🤣🤣

Acha tu nianze na kicheko

Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian

Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri

Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!

Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Katika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
 
Waislam na Waarabu ni Wanafiki sana

Wanawaita Wakristo na Wasiokuwa Waislam Makafiri, lakini wanawategemea kwa kila kitu mpaka malazi na Ulinzi na wanaishi katika ardhi yao ilihali kuna nchi nyingi za Kiislam zinazoongozwa kwa Sharia lakini hawataki hata kufika huko.....UNAFIKI

Mbaya zaidi wanataka hao Makafiri wenye nchi zao waishi kama wanavyotaka wao wa Allah, na wanadevelop mavazi yao, na Imani pamoja na lifestyle yao kwenye nchi isiyokuwa yao

Yaani uje nyumbani kwangu uniambie nisile kitimoto roast wakati hujafuga wewe huyo kitimoto, hujachinja wewe wala hujanunua wewe...KIHEREHERE

Nenda kwako ulete hizo sheria

Bin Mudi's wanashangaza sana
 
Katika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Mkuu umetisha kwa urongo
 
Sawa, Ottoman Empire, halafu baadae ikawaje?
 
🤣🤣

Acha tu nianze na kicheko

Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian

Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri

Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!

Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Hukuwahi kuongea la maana.
Huwa unaropokaga tu.
Wahamiaji wa kiarabu hutokea nchi zenye vita SYRIA,LEBANON,IRAQ,YEMEN.
Na ukifuatilia nadhani utaelewa nani chanzo cha machafuko ya hayo mataifa ni hao hao wazungu wenyewe.
Umewahi kusikia mwarabu wa QATAR,OMAN,BAHRAIN,KUWAIT,DUBAI,BRUNEI ana mawazo ya kuhamia Ulaya!??
Nchi za hao wafu zingekuwa hazijaingizwa katika vita basi wangekua kwao wanajenga taifa Lao.
 
Si hivi umechangia chief?

Lakini si ni ukweli nchi hizo waarabu huziita ni nchi za Makafiri?
 
Katika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Kuna watu sijui hawasomi wandhani dini imeingia leo kule hawajui dini imeanza kabla simu hatuna tunatumia njiwa kupeleka salamu:D:D
 
Waislam na Waarabu ni Wanafiki sana

Wanawaitwa Wakristo na Wasiokuwa Waislam Makafiri, lakini wanawategemea kwa kila kitu mpaka malazi na Ulinzi na wanaishi katika ardhi yao ilihali kuna nchi nyingi za Kiislam zinazoongozwa kwa Sharia lakini hawataki hata kufika huko.....UNAFIKI

Mbaya zaidi wanataka hao Makafiri wenye nchi zao waishi kama wanavyotaka wao wa Allah, na wanadevelop mavazi yao, na Imani pamoja na lifestyle yao kwenye nchi isiyokuwa yao

Yaani uje nyumbani kwangu uniambie nisile kitimoto roast wakati hujafuga wewe huyo kitimoto, hujachinja wewe wala hujanunua wewe...KIHEREHERE

Nenda kwako ulete hizo sheria

Bin Mudi's wanashangaza sana
Ulaya na marekani walishaachana na ukiristo,ni wapagani,halafu waislam hawawategemei wazungu kwa hayo,mwisho waarabu wanasilimisha wazungu huko ulaya na marekani, central London Mali nyingi ni za waislam,kwa hiyo tulia
 
Katika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Umejibu swali alilouliza au unafundisha historia?Bloody terrorist!
 
Ni sawa na wanavyosema hawaruhusiwi kula kitimoto isipokuwa wakiwa na njaa kali bila chakula chochote karibu.

So tukitafsiri hapo; ugumu wa maisha ni sawa na wao kuwa na njaa kali, na kukimbilia kuishi kwa makafiri ni sawa na wao kuonja kitimoto ili njaa isiwaue.
 
Si hivi umechangia chief?

Lakini si ni ukweli nchi hizo waarabu huziita ni nchi za Makafiri?
Sababu kuu zinazofanya waarabu kukimbilia hifadhi nchi za wazungu ni CIVILIZATION ukiachana na vijisababu vingine.
Jamii ya kiarabu ni uncivilized,mpaka sasa bado wana mila ama tamaduni za mfumo dume na kukandamiza wanawake.
Mfano mwanamke wa kiarabu kutwangwa magumi na mumewe kawaida ila Ulaya kosa la jinai.
Binti wa kiarabu akibakwa badala ya mbakaji ahukumiwe ila binti anazikwa akiwa hai eti kuiokoa familia na fedheha na aibu.
Waarabu wana bado mila potofu wanaziishi hadi sasa.
Tafuta hata documentaries za vyombo vikubwa vya habari hasa uone wanawake wa Syria wanavyoona kama wameokoka kuja Ulaya,yote ni kwasababu ya POOR TABOOS za waarabu.
Waarabu bado HAWAJASTAARABIKA.
 
Ulaya na marekani walishaachana na ukiristo,ni wapagani,halafu waislam hawawategemei wazungu kwa hayo,mwisho waarabu wanasilimisha wazungu huko ulaya na marekani, central London Mali nyingi ni za waislam,kwa hiyo tulia
Weka hapa takwimu za Wazungu walio Wapagani nikuwekee za walio Wakristo

Eti hawawategemei kwa Ulinzi, mfumo wa Ulinzi wa Ulaya na America unawategemea Waarabu?
 
Si hivi umechangia chief?

Lakini si ni ukweli nchi hizo waarabu huziita ni nchi za Makafiri?
Kafiri kwenye uislam ana haki zote,kulindwa,kupewa zakkah na sadaka Kama anastahiki,kupewa haki zake zingine,kafiri ni mkanushaji wa Mungu mmoja aso mithali,asiye na mwana Wala baba,muumba wa kila kitu,so usione kuitwa kafiri ni kitu Cha ajabu,japo hata kahaba hawaipendi kuitwa kahaba,ishi nalo tu,so kwenda nchi ya makafiri hakuna shida kwenye Imani ya kiislam
 
Back
Top Bottom