International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ndivyo alivyosema mgombea Urais wa Marekani mh Kamala Harris katika hotuba ya kukubali kuteuliwa na Chama chake kuwa mgombea Urais Tanzania inatumia maono ya opportunity economy kwa kuzing'amua...
0 Reactions
9 Replies
419 Views
Ahadi ya Iran ya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran itachukua muda, kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mkutano wa mwaka 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na majukwaa ya ushirikiano...
0 Reactions
0 Replies
518 Views
Wakuu Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam. Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa...
32 Reactions
175 Replies
7K Views
Baada ya miaka mitatu bila vita nchini kwao., Wataleban wanasema wamechoka kukaa ofisini na sasa wanataka kupigana vita. Msemaji wa Taleban Mullah Janan, alinukuliwa akisema "Tuna kiu ya vita...
30 Reactions
78 Replies
4K Views
HISTORIA YA ISRAEL Ukiongelea Taifa la Israel lazima ufafanue unaongelea Israel ya zamani au Israel ya sasa. ISRAEL 1.Modern Israel (Israel ya sasa) 2.Ancient Israel (Israel ya Zamani) Kujua...
34 Reactions
561 Replies
21K Views
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Taliban wmefanya gwaride kubwa kwa kutumia magari ya deraya na silaha kibao walizowateka Wamarfekani miaka 3 nyuma. Ikumbukwe kuwa Taliban waliingia vitani na Wamarekani kwa miaka 20 mfululizo...
7 Reactions
78 Replies
3K Views
Tume hiyo Maalumu imeundwa na Waziri Mkuu, Ousmane Sonko na imepewa jukumu la kupitia upya Mikataba yote ambayo Serikali zilizopita zilisaini na Kampuni za Kimataifa. Timu ya Wajumbe inaundwa na...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya...
8 Reactions
113 Replies
5K Views
From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana. Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa. Kuna...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Lawama zimeanza kua nyingi kuanzia bulawayo hadi harare, Wachunguzi na watafiti mbalimbali wametupia lawama Kwa polisi wa zimbabwe hasa wa kitengo maalumu cha kuzuia uhalifu Kwa utekaji na...
0 Reactions
5 Replies
430 Views
"watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Wana jamvi... Kwa moto wanaopelekewa jeshi la russia kuna uwezekano mkubwa vijana wa Yevgeny Prigozhin wameamua kupigana bega kwa bega kulipiza kisasi cha kuuliwa boss wao, maana mpaka muda huu...
14 Reactions
72 Replies
4K Views
Alipokuwa nchini Uturuki wiki iliyopita kiongozi wa mamlaka ya Palestina alihutubia bunge la nchi hiyo na kujigamba kuwa akirudi nyumbani atakwenda Gaza kwani eneo hilo ni sehemu ya Palestina na...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Urusi imevamiwa na kweli Ukraine kaingia kwenye will ya moja mpaka I Sawa, swali kwanini ajaenda kurudisha kinu chake cha Nyukilia? Ambacho kinakaliwa na Urusi!? Je, kama amepata uwezo wakuvamia...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Licha ya Hali mbaya ya Uchumi na maisha magumu huko Nigeria , Serikali Yao imelazimika kununua ndege ya Kifahari Kwa Ajili ya Rais. --- Many Nigerians have reacted with outrage after a new plane...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kazi kusaka magaidi haijapoa hata kidogo IDF imethibitisha kufanya shambulizi la anga karibu na mji wa pwani wa Lebanon wa Sidon mapema leo, na kumuua afisa wa Fatah...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtu mzee zaidi duniani, Maria Branyas Morera wa Uhispania, ambaye alizaliwa nchini Marekani na kuishi katika Vita ya Pili Dunia, amefariki akiwa na umri wa miaka 117, familia yake ilisema Jumanne...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…