International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika. Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk. Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao...
8 Reactions
140 Replies
4K Views
Daniel Mthimkhulu, alidanganya kuwa na Shahada ya Uhandisi wa Mitambo kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Ujerumani Aliajiriwa na PRASA mwaka...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC umefunguliwa leo tarehe 5 hapa Beijing, ambapo rais Xi Jinping alitoa hotuba akitangaza kuinua uhusiano kati ya China na...
1 Reactions
1 Replies
353 Views
Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya...
9 Reactions
102 Replies
6K Views
Baada ya shambulio kali la Urusi kuua idadi kubwa ya askari kuruta wa Ukraine kwenye jimbo la Donest,leo raisi Putin wa Urusi ameweka wazi kuwa wamekuwa wakisonga mbele kwa kasi kuelekea kushika...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi, Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao. Mfano European Commission imeitaka Mongolia...
11 Reactions
111 Replies
7K Views
Familia ya Walz inaonekana kuwa na mgawanyiko mkubwa wakati ambapo mgombea mwenza wa Kamala Harris, Tim Walz, ambaye ni Gavana wa Minesota anajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2024 huko Marekani. Jeff...
2 Reactions
1 Replies
514 Views
Jopo la washauri bingwa la Afrika Kusini Ichikowitz Family Foundation hivi karibuni imetoa “Ripoti ya Uchunguzi wa Vijana wa Afrika (mwaka 2024)”, ambayo liliwahoji zaidi ya vijana 5,600 wenye...
2 Reactions
6 Replies
644 Views
Serikali ya Rais Xi Jinping imeahidi kutoa takriban Dola za Marekani Bilioni 50 (zaidi ya Tsh. Trilioni 139.39) kwaajili ya kufadhili shughuli mbalimbali za Ushirikiano wake na Mataifa ya Afrika...
0 Reactions
2 Replies
711 Views
Habari wana-JF, Kumekuwa na uwepo mkumbwa wa atheist duniani, sasa unahisi nini kifanyike kuokoa ndugu zetu? Na wapi tunapofeli? Na kama tukishindwa kukemea basi tuwachukie kwa moyo wote...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa mara nyengine Marekani imeshindwa kuficha unafiki na nia zake mbaya katika vita vya Gaza. Wakati kuna kesi na hukumu za mahakam za kimataifa za uhalifu ICC kwa ajili ya Israel na ambazo...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Video ikionesha radi ikipiga jengo la Makkah Clock tower. Wakuu hii ina maana yoyote katika matukio ya siku za mwisho? adriz Maghayo Kosugi...
4 Reactions
74 Replies
4K Views
Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake, Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe...
40 Reactions
64 Replies
3K Views
Wakihojiwa juu ya hali ngumu ya maisha wananchi hao wametupia lawama serikali lakini zaidi wabunge wao kua tatizo. Wananchi hao Kwa nyakati tofauti wameonesha kukerwa na kuzorota Kwa maisha huku...
2 Reactions
2 Replies
318 Views
Tanzania ilipigana na Uganda 1978 Libya ilimpa Idd Amin kila aina ya Silaha lakini hazikusaidia chochote zote zilitekwa na Baada ya Vita kwa dharau kabisa Mwalimu Nyerere akavirejesha kwa Gadafi...
22 Reactions
152 Replies
13K Views
  • Closed
Naibu Waziri upande wa ulinzi United kingdom ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi. ============== Some personal news: Sydney and I got married a few weeks ago in a small ceremony at Port Eliot...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Why did Mark Zuckerberg choose now to confess? Monday, September 02, 2024 Consider Mark Zuckerberg’s revelation and its implications for our understanding of the last four years, and what it...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Marekani, baada ya kuinunua Twitter kaanza kuruhusu kuwe na neutral ground kinyume na democrats wanavyotaka mawazo yao peke yao yasikike, hiki chama huwa kinacheza rafu sana, huanza kwa makesi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kila baada ya muda fulani nchi ya Marekani huwa inafanya mambo ambayo yanazidi kuishushia hadhi nchi hiyo. Mambo hayo ni yale inayoyapinga kufanywa na wenzake. Inaua sana kila nchi lakini...
4 Reactions
85 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…