Kijana mmoja raia wa Syria siku ya Jumapili aliamriwa kushikiliwa kwa tuhuma za mauaji na uanachama katika kikundi cha kigaidi cha kiislam cha Isis kuhusiana na shambulio la visu la Solingen...
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye ameitaka Ulaya kusaidia kukabiliana na tishio la usalama linaloongezeka huko Sahel, eneo tete ambalo limekabiliwa na mfululizo wa mashambulizi mabaya katika...
Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda
Endeleeni kuitana huku...
Ujerumani itatoa dozi 100,000 za chanjo ya mpox kutoka kwa hisa zake za kijeshi kusaidia kudhibiti mlipuko katika bara la Afrika katika muda mfupi na pia kutoa msaada kwa nchi zilizoathiriwa...
Inachukua saa chache tu kwa basi kutoka Kigali hadi Goma, lakini kusafiri kutoka Rwanda hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuligharimu mwandishi mmoja kuhama Nchi—na huenda kuligharimu...
Wanaukumbi.
Hezbollah wanaendelea kushambulia maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel.
🚨🇱🇧🇮🇱 FM KATZ AWATAKA MSAADA WA KIMATAIFA KWA ISRAEL DHIDI YA IRAN NA HEZBOLLAH
Waziri wa mambo ya nje...
Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi.
Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi...
Marekani imetoa dozi 10,000 za chanjo ya MPox kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ikiwa ni kundi la kwanza la chanjo hiyo kufikishwa baada ya visa 40 vya kuripotiwa...
COMMISSION TO EXPOSE EVIL
So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the...
Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea.
Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu...
Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku
Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku.
Hadi second commander KUTOKA kwa...
Ndege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army.
BREAKING...
Satellite za Urusi zilikua zina wazoom TU, makomando maalumu kabisa wa Marekani,Israel na uingereza wakipanga,mipango ya kwenda kupiga mission ya kibabe kabisa huko Yemen,wakitoka kwao ,wakiingia...
Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa...
Kumbe ule music wa Hezbullah kuwauwa kuku kwenye banda kulikuwa na majogoo wakubwa wamenono 😄
The commander of Israel’s Unit 8200 is a closely guarded secret. He occupies one of the most...
Katika kile kinachoonekana kuchoshwa na tabia ya mataifa ya Nato ya kuinyima haki ya kushambulia ndani ya Russia kwa kutumia silaha zao za misaada, hatimaye Ukraine imefanikiwa kuweza kutengeneza...
Ukraine Yasema Imejaribu Kombora Jipya la Ndani
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa nchi yake imefanikiwa kufanya jaribio la kwanza la kombora jipya lililotengenezwa ndani ya nchi...
Takwimu iliyotolewa na jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ya mwaka 2024 ikiwa ni zaidi ya vifo 450. asilimia 75% ya walioathirika zaidi na...
Sitaki kujua sana kuhusu huyu Mungu wa namna hii ila maagizo yake kwa watu wake hayapaswi kuendelea kuchukuliwa kawaida kwani yanahamasisha na kuchochea mauaji makubwa yanayo tekelezwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.