Imenisikitisha sana. Hawa Israel wanawezaje hawa Mayahudi? Hii inawezekana vipi? Putin ashawahi kusema anahisi amezungukwa na Mayahudi wengi sana kwenye Uongozi wake. Kiasi hajui yupi ni yupi...
Siku moja baada ya Israel kumuua kiongozi wa Hizbullah, Hassan Nasrallah jeshi la nchi hiyo limekuja juu na kutoa matamko ya kuwahamasisha raia kujiandaa kwa vita na Israel.
Katika tamko lake...
Shuhuda wa Vita ya Israel dhidi ya makundi ya kigaidi amesema Hamas ni Makini, Wavumilivu na Jasiri kuliko Hezbollah
Amir amesema Hamas wanakosa Silaha tu Lakini ni Makini mno kama kuku wa...
Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon...
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.
Ikumbukwe korea...
Kifo cha kiongozi wa muda mrefu wa Hizbullah japo kimekuwa ni huzuni kubwa kwa wananchi wa Lebanon na wapenda haki hata hivyo hakijaleta taswira ya kumalizika mapambano kati ya Hizbullah na taifa...
BREAKING:
Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel...
Nasrallah ameipa onyo Israel kuhusu vita inayotazamiwa kutokea baina ya Lebanon na Israel, lakini pia Hezbollah imetoa onyo kwa nchi ya Cyprus endapo itakubali kutumiwa na Israel katika vita...
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya kabisa kutoka Tehran
Serikali ya Iran imebadili gia angani. Sasa inafikiria kuwashughulikia moja kwa moja waliohusika na mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Hamas...
Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye...
Mchambuzi wa Jeshi la Marekani, Korbein Schultz amekiri mashtaka ya kula njama ya kuuza siri za kijeshi kwa China, ikielezwa alilipwa Dola 42,000 (Tsh. Milioni 113.3) ambapo hukumu yake...
Kabla vita havijamalizika Israel imeshaweka tayari baadhi ya mipango yake ya siri dhidi ya ardhi za wapalestina, kwamba wanakusudia kuinyakua milele Gaza.
Uwezo wa kuinyakua Gaza umekwenda bila...
Huyu anatajwa kuwa ni second in Command na tayari shura ya maulamaa imeshakaa na kumpitisha anatarajiwa kutangazwa muda wowote kuanzia sasa. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
Houthis say they fired ballistic missile at Tel Aviv airport. LIVE updates: aje.io/mycvl0
The Yemen-based group’s military spokesperson says it launched an attack on Ben Gurion airport during the...
New ‘bunker buster’ bombs used in Beirut attack
Bomu limeetoa moshi wa rangi ya Chocolate - This is why Iran hataki War na Israel anawatumui Arabs wajinga wake.
Bomu hilo halijawahi tumika kabla...
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon.
Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana...
Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E
Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache...
Naona Firstpost hawataki mchezo.
Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba...
Mkuu wa Hezbollah, Hassan Nasrallah amepotezwa
Kiongozi huyu mwenye ushawishi mkubwa (charsmatic leader) ameiongoza Hezbollah kwa miaka 33 yaani kutoka 1992 hadi 2024. Alikuwa nyota kuu ya...