International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Oil tanks burn at the port in Hodeidah, Yemen, Saturday, July 20, 2024. The Israeli army said it has struck several Houthi targets in western Yemen following a fatal drone attack by the group in...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Mi ndo naona hili ndo lililobakia.kwa kipindi hiki wakati nchi za Kiarabu zikijipanga kuishambulia Israel. Najua kwa sasa. Yemen,Iran,Palestine, Syria zitakuwa na vikao kujipanga.
0 Reactions
2 Replies
268 Views
Hadi sasa tukiwa tunaelekea adhuhuri Chama Cha Hezbollah bado haijathibitisha Kifo Cha Kiongozi wao mh Nasrallah Israel Ndio wametawala vyombo vyote vya Habari kuanzia Ulaya, America, Asia hadi...
4 Reactions
83 Replies
3K Views
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao, Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao, Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa...
21 Reactions
109 Replies
6K Views
wadau hamjamboni nyote? Kazi kusafisha magaidi inaendelea Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: IDF says senior Hezbollah official Nabil Qaouk killed in Beirut airstrike...
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Imeelezwa kuwa mfumo wa mgawanyo wa madaraka na utayari wa kimapambano ni mmoja ya mifumo bora katika vyama vya utetezi wa haki kwani huwa daima hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao...
2 Reactions
10 Replies
721 Views
Msemaji wa IDF mh Hagai amesema mikono ya Kiongozi Mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah aliyeuawa ilikuwa imejaa damu za binadamu wasio na hatia Yule alikuwa Kichwa Cha Ugaidi duniani na sasa...
15 Reactions
75 Replies
3K Views
Wakuu ni nadra sana kuona hizi video mtandaoni hasa kwene media za al jazeera! Hawa raia wanawatukana Hamas kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga ndio yanawaua...
3 Reactions
13 Replies
679 Views
Kiongozi mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah amesema Israel imevuka mstari mwekundu na wao wanahesabu hilo kama Tangazo la Vita kamili BBC news Nimeogopa sana 🐼
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? ======== The body of Hezbollah leader Hassan Nasrallah was recovered on Saturday following an Israeli airstrike in Lebanon, according to a Lebanese security source who...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imenisikitisha sana. Hawa Israel wanawezaje hawa Mayahudi? Hii inawezekana vipi? Putin ashawahi kusema anahisi amezungukwa na Mayahudi wengi sana kwenye Uongozi wake. Kiasi hajui yupi ni yupi...
18 Reactions
92 Replies
5K Views
Siku moja baada ya Israel kumuua kiongozi wa Hizbullah, Hassan Nasrallah jeshi la nchi hiyo limekuja juu na kutoa matamko ya kuwahamasisha raia kujiandaa kwa vita na Israel. Katika tamko lake...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Shuhuda wa Vita ya Israel dhidi ya makundi ya kigaidi amesema Hamas ni Makini, Wavumilivu na Jasiri kuliko Hezbollah Amir amesema Hamas wanakosa Silaha tu Lakini ni Makini mno kama kuku wa...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon...
9 Reactions
81 Replies
5K Views
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea...
14 Reactions
42 Replies
3K Views
Kifo cha kiongozi wa muda mrefu wa Hizbullah japo kimekuwa ni huzuni kubwa kwa wananchi wa Lebanon na wapenda haki hata hivyo hakijaleta taswira ya kumalizika mapambano kati ya Hizbullah na taifa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
BREAKING: Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Nasrallah ameipa onyo Israel kuhusu vita inayotazamiwa kutokea baina ya Lebanon na Israel, lakini pia Hezbollah imetoa onyo kwa nchi ya Cyprus endapo itakubali kutumiwa na Israel katika vita...
6 Reactions
141 Replies
7K Views
Mchina ananitahidi lakini hawa jamaa ni ngumu Sana kuwapita Hiyo ni orodha ya market value ya baadhi ya Makampuni ya 🇺🇸USA
1 Reactions
2 Replies
451 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya kabisa kutoka Tehran Serikali ya Iran imebadili gia angani. Sasa inafikiria kuwashughulikia moja kwa moja waliohusika na mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Hamas...
9 Reactions
65 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…