Linchi la hovyo kabisa hili eti taifa teule eti most democratic country in middle East wangefanya haya Iran au Urusi humu kungejaa nyuzi za kutukana wairan na warusi....
[emoji298]️BREAKING...
Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai.
Please advice
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran
Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa
======
Biden...
Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote. Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop.
Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu...
Hezbollah chief Nasrallah’s fatal underestimation of Israel
Hezbollah chief Hassan Nasrallah has miscalculated, and in the process dragged Lebanon into a bloodbath that the already impoverished...
Amini kuna miujiza hapa Duniani, kanchi kadogo kapo vitani lakini kanakimbiza nafasi ya pili huko Middle east
N:B: Ule msaada wa dola bilioni 3 wanaopewa na Marekani kila mwaka haufikii asilimia...
Its comfirmed kuwa Shujaa Sayed Nasrallah ameuliwa
[emoji599] Hezbollah comfirms the assassination of Hassan Nasrallah by Israel
BREAKING:
Israel officially announces that it killed Hezbollah...
Aliyekuwa Rais wa Ethipia Sahle-Work Zewde (kushoto) na Rais mpya wa nchi hiyo Taye Atske Selassie (kulia)
Taye Atske Selassie, aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje tangu Februari, 2024, ameapishwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naamini vijana wale wa baba mmoja au ukipenda muite supplanter wangalitii bila shuruti agizo hilo basi haya yote yasingaliwatokea!
Muwe na...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF inaendelea na operesheni kubwa ya kijeshi nchini Lebanon
Imeagiza wakazi kwenye vijiji na miji 25 huko Kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao kulinda Usalama...
Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni...
Watu wengi hususani afrika hawaelewi ugomvi baina ya Wapelestina na Wayahudi. Mara nyingi wamekuwa wakilaumiwa waarabu pale wanapolipiza mabaya wanayofanyiwa na Wayahudi ndani ya ardhi yao...
Wanaukumbi.
BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah...
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.6 lililohisiwa katika sehemu mbalimbali za Iran linaibua wasiwasi kuwa huenda lilikuwa jaribio la silaha za nyuklia. Kituo cha kugundua mitetemeko cha Armenia...
Kwanini walikuwa wanahama siku za mwanzo?
Kwanini hawakukomaa walipokuwa tangia awali?
Kwani Isiraeli ilikuwa na uwezo wa kuuwa 5,000 siku ya kwanza au siku yoyote?
Mbona woga wao ndiyo...
07 October 23 ndio kipigo Cha kuwafurusha kilianza rasmi kwa Wavamizi wa Kiyahudi toka Nchini Poland na bara Ulaya waliovamia Palestine kwa ajili ya kulinda maslahi ya mabeberu wa Ulaya.
Israel...
Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege...
Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa.
Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato...
Mimi na familia yangu leo ifikapo saa mbili kamili usiku tutakuwa sebuleni tukiangalia makala maalum iliyoandaliwa na kitengo cha utafiti wa habari cha Al Jazeera (Al Jazeera Investigation Unit)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.