International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Iran imetuma ujumbe kwa Marekani kupitia Qatar kuwa sasa hivi haitokuwa na subira kwenye ishu zinazoihusisha Israel. Iran imesema kwamba, Imeachana rasmi na sera hiyo kwa sababu hiyo sera...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia! Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia...
29 Reactions
259 Replies
10K Views
Hivi USA wanapataga wapi Taarifa Muhimu za intelligence kabla ya Jambo kutokea? 1. Juzi walionya kuwa Iran Ina mpango wa kushambulia Israel ndani ya Masaa mawili yajayo na ikawa hivo 2. Mwaka...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema halali usingizi, na anaona kila kitu kinachoendelea katika matendo ya wanadamu. Katika nyakati mbalmbali katika historia ya mwanadamu Mwenyezi Mungu ametoa msaada...
19 Reactions
89 Replies
5K Views
Hakuna utapeli mkuu duniani kama utapeli wa kifikra. Hakuna brainwashing kuu duniani kama brainwashing ya akili. Vijana wa mashariki ya kati kwa miaka mingi wamepikwa na kupikika katika harakati...
10 Reactions
87 Replies
2K Views
Mji wa Holon huko Israel umepigwa kwa idadi ya Makombora kadhaa huku Al Qasam ambalo ni tawi la Hamas likithibitisha kuhusika na shambulio hilo. Wakati huo huo inaripotiwa idadi ya makombora...
3 Reactions
15 Replies
973 Views
Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali vya habari vimesema kwamba Israel inajiandaa KUISHAMBULIA Iran apo kesho Oct 07 Kama kumbukizi ya shambulio la Oct 07 lililofanywa na hamas Kule Israel, Tayari...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Jenerali Esmail Qaani Kamanda Mkuu kikosi maalumu cha Jeshi la Iran cha Quds amepotea na hajulikani alipo Mara ya mwisho alitembelea Lebanon mara tu baada ya kuuawa Kwa...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱 Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel Cha...
17 Reactions
131 Replies
4K Views
Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa. Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita. Je Macron kafanya nini...
13 Reactions
131 Replies
7K Views
Picha: hawa ndo Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah Hawa ndo magaidi na wanamgambo walioangamizwa na Hezbollah leo Captain Eitan Itzhak Oster, Captain Harel Etinger...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
🇬🇧🇸🇪 AstraZeneca is withdrawing its Covid vaccine worldwide, The Telegraph reports. The pharmaceutical giant recently admitted in court for the first time that its vaccine can cause a rare and...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa. Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi, maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Tunakuletea sasa taarifa kutoka kwa mazishi ya kamanda mkuu wa Hezbollah, Ibrahim Aqil. Aliuawa katika shambulizi la Israel kwenye viunga vya kusini mwa Beirut siku ya Ijumaa. Shambulio hilo...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Niombe Serikali ya Israel ipewe kibali kufungua vyuo maalumu Afrika mashariki kutoa elimu ya lugha ya kiyahudi yaani Kiebrania, mila na desturi za kiyahudi, dini ya...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
🚨BREAKING: Texas has passed a bill banning islamic shariah law and anything that contradicts American values. My take; Smart move, they don't want to end up like Canada and France.
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumaanisha kuwa hakuna chochote cha maana alichofanya hahaha Cheki video:
1 Reactions
5 Replies
529 Views
Kulikuwa kipigo kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi: Hayakuwa maeneo ya raia wala miundo mbinu. Kilikuwa kipigo cha mbwa Koko!
13 Reactions
52 Replies
3K Views
Jamaa wanaweweseka balaa! Ndege zote kutoka viwanja vya ndege vya Iran zimefutwa kuanzia saa 3 usiku leo hadi saa 12 asubuhi kesho kwa saa za huko, kwa mujibu wa shirika la habari la Mehr la...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Burkina Faso inapanga kufuta leseni za uchimbaji madini kutoka kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na itatafuta kuzalisha dhahabu yake zaidi, alisema kiongozi wa junta Ibrahim Traore siku ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom