International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na...
11 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali ya Ufaransa imemuamuru Omar bin Laden, mtoto wa kiongozi aliyeuawa wa Al Qaeda Osama bin Laden, kuondoka nchini humo kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii. Waziri mpya...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia. Iran wakanusha mji huo kushambuliwa. Mytake: Huenda Mazayuni wameshafanya yao 🤔 --- 🚨Just In - Initial reports of...
14 Reactions
66 Replies
5K Views
Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa...
15 Reactions
283 Replies
9K Views
Yako mataifa kadhaa ya kiarabu na mataifa ya kiislamau ambayo yameonekana kufanya uzembe katika vita vya Gaza.Hata hivyo taifa la Saudia linaongoza kwa kusaidiana na Marekani kuipa nguvu Israel...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana. Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake...
49 Reactions
669 Replies
35K Views
Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine. Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua...
15 Reactions
112 Replies
6K Views
Morocco imeipiku China, Japani na India na kuwa msafirishaji mkuu wa sekta ya magari kwa Umoja wa Ulaya. Katika mwaka wa 2023, nchi hii ilipata dola bilioni 13.7 kutokana na usafirishaji wa...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Maombi ya Watu takribani 371 waliokua katika mchakato wa kujaza fomu za kuiomba Serikali ya Switzerland iwaruhusu kujiua kupitia sanduku jipya maalum kwa ajili ya kujiua liitwalo ‘Sarco...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno. Israel inaendelea kula vichwa vya...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Maajabu (kama walivyokuwa wajinga) hayatakaa yaishe. Ya kwamba mara ya mwisho Ilikuwa angalau mwaka huu. Ya kuwa madai haya si kutokea Kwa vyanzo reja reja: La kutia moyo ni kuwa vita vyote...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
https://www.india.com/lifestyle/top-10-strongest-alcoholic-drinks-of-the-world-from-absinthe-to-everclear-and-beyond-1763153/amp/...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Bila shaka Natenyahu naye alikuwa mbele ya runinga: Kwa muda wote hadi sasa Israel imeshindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon. Uwezo wao uko pale pale, na mpambano kaskazini mwa Israel...
11 Reactions
64 Replies
3K Views
https://x.com/dogeofficialceo/status/1843382048767258909?t=snaDQf8FVMrm5Dx2zKuZzw&s=19 Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Benjamin Netanyahu amewatahadharisha na kuwasihi raia wa Lebanon 🇱🇧 akiwaomba kushikamana na kutumia wakati huu kuiondosha Hezbollah, Netanyahu amesema kwamba kundi hilo la kigaidi limekuwa...
17 Reactions
89 Replies
3K Views
Russia Demands Explanation for Biden’s Nord Stream 2 Comments Marekani wameficha kichwa kwenye shamba la karanga huku matako yote yanaonekana ngoja tuone watachomokea wapi. On February 7, Biden...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Nina wasi wasi hata wale mateka wa Kiisrael walitekwa kimtego ili Israel ipate sababu ya kufanya haya. Hezbollah kwa sasa wanataka amani. Wayahudi wabishi. Why jamani? Msifanye hivyo. Acheni amani...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Kimbunga cha Helene kimeua zaidi ya watu 90 kusini mashariki mwa Marekani, na kusababisha mafuriko na uharibifu mkubwa kwa miundombinu na jamii. Siku chache baada ya kimbunga hicho cha kiwango...
1 Reactions
6 Replies
608 Views
Back
Top Bottom