International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Habari ya wakati huu nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano🖐️🖐️🖐️, Isee kwa wale mnaofuatilia au kufahamu maswala ya kijeshi kuna jambo huwa naliona ama kulisikia linanichanganya nisijue...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi. Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya...
15 Reactions
67 Replies
3K Views
ZAMBIA: Rais Hakainde Hichilema amewafuta kazi Majaji watatu ambao awali aliwasimamisha kazi kwa madai ya Kukiuka Maadili ya Mahakama, hali iliyoibua shutuma kuwa Rais anaingilia Kisiasa kwenye...
1 Reactions
2 Replies
978 Views
Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa...
6 Reactions
111 Replies
7K Views
Uvamizi wa Hamas wa October 7 ulikuwa ni kujipatia Mateka wa kutosha Ili baadae waweze kuswap na wafungwa wa kipalestina walioko kwenye Magereza ya Israel Lengo la Hamas lilifanikiwa kwani...
8 Reactions
68 Replies
21K Views
Mambo yanazidi kuwa moto kwenye baadhi ya mataifa. Matukio ya kuuwana yamendele kushika kasi sana Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki...
1 Reactions
5 Replies
385 Views
Israel iliwashikilia raia wake zaidi ya sita, akiwemo askari muasi wa jeshi,kwa tuhuma za kufanya ujasusi ndani ya israel kwa ajili ya Iran. Watuhumiwa hao walipiga picha kambi za jeshi, taarifa...
4 Reactions
12 Replies
26K Views
Rasmi nchi ya Misri imepatiwa cheti cha kutokuwepo kwa malaria katika nchi hiyo na Shirika la Afya Duniani (WHO) ambapo shirika hilo liliita mafanikio haya ya kihistoria. Soma pia: Djibout...
0 Reactions
12 Replies
16K Views
Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli. Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee, propaganda...
13 Reactions
91 Replies
2K Views
Iran ndiye Mfadhili Mkuu wa makundi yote ya kigaidi Mashariki ya Kati. Iran inafadhili sio tu pesa, Bali hata zana za kivita, utaalam na Mafunzo kwa Magaidi yote ya Hamas, Hezbollah, Houth na...
19 Reactions
93 Replies
5K Views
Wakuu, IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini. Kwenye video...
30 Reactions
358 Replies
20K Views
Wanakumbi. Kama unavyoona, mitaa ya Haifa si salama tena. Pia angalau athari moja iliripotiwa karibu na mji wa Safad kufuatia msafara wa hivi punde kutoka Lebanon kuelekea mjini. Angalau saba...
1 Reactions
7 Replies
804 Views
Nimemuona Seneta mmoja Kupitia BBC kule Australia akipiga kelele mbele ya King Charles akisema " Not my King" Seneta yule wa kike amechukuliwa na Watu waliovaa Suti na Tai na kutolewa nje kwa...
5 Reactions
17 Replies
668 Views
Iran imekimbilia kwenye kujitetea, ila waambiwa wasubiri papo hapo kipo tu, na muda wote wawe macho yao yanaangaza angani maana hawajui watashukiwa vipi. Vita vya kisaikolojia ========= Iran...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Linaweza kuonekana kama wazo mfu lakini huo ndiyo ukweli. Tangu zamani vita ndiyo njia ya kurekebisha mambo na kubalance power. Ukiangalia kwa undani matatizo yanayowakabiri vijana ni karibu...
11 Reactions
26 Replies
1K Views
Ukimwona unaweza sema ana 60. Daaah... Jamaa ana kula nini? Huyu jamaa leo kafikisha miaka 75. Na ana nguvu fresh tu. Na huko Mashariki ya Mbali wanamchukia sana. Pia na wakazi wa Mashariki ya...
18 Reactions
61 Replies
2K Views
Wakuu Salaam, Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houthi, Iran ,makundi mengine Syria, Iraq kama tu vita ya 78...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
FALSE FLAG? Drone strike on Netanyahu home came grom area in Lebanon controlled by IDF Hal Turner World October 20, 2024 Radar and satellite imagery from the Drone strike which hit the private...
0 Reactions
11 Replies
870 Views
leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel. Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…