International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Picha za satelaiti zilizochambuliwa na BBC zinaonyesha uharibifu wa maeneo kadhaa ya kijeshi nchini Iran kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel siku ya Jumamosi. Ni pamoja na tovuti ambazo...
2 Reactions
7 Replies
777 Views
Washambuliaji wenye silaha waliwavamia na kubadilishana risasi na vikosi viwili vya doria ya polisi katika jimbo la Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran, siku ya Jumamosi, na kuua...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Patricia Kaliati (57) Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Upinzani na Katibu Mkuu wa chama cha UTM, amekamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua Rais Lazarus Chakwera, huku Wanasiasa...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran’s Guards chief warns of ‘bitter, unimaginable consequences’ for Israel’s strike ---- Revolutionary Guard Corps said Monday...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanaukumbi. ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo. Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la...
9 Reactions
183 Replies
7K Views
Dereva mmoja wa ambulance ameweka wazi ya kwamba wamechoshwa na tabia ya wapiganaji wa Hamas kutumia Magari ya ambulance kusafirisha silaha na majeruhi wao. Kwamba Hamas hujificha au kutumia...
2 Reactions
4 Replies
689 Views
Electors kutoka majimbo yote hupeleka matokeo yao kwa Rais wa bunge la Senate. Na Rais huyu ni Makamu wa Rais wa Marekani. Kama mnakumbuka January 6, 2021. Waandamaji walikuwa wanapiga kelele...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Wanaukumbi. Netanyahu alipokuwa akizungumza, familia za wanajeshi wa Israeli walioanguka walilipuka kwa sauti za hasira na kufadhaika, zikilaani waziwazi uongozi na maamuzi yake. Watoto wao...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Shambulio la alfajiri ya leo, la jeshi la Israel, tunaambiwa limehusisha ndege 100. Ndege zimeshambulia, na zote zimerudi salama. Ina maana, jeshi la Iran limeshindwa kudungua hata ndege moja ya...
33 Reactions
143 Replies
7K Views
Israel kwa siku za karibuni tokea waingie Lebanon wanakula hasara tu Wanajeshi wanaokufa kwa jumla hapo Gaza na Lebanon na ndani ya Israel kwa siku haipungui 45 hadi 50 Kwa mwendo huu hadi...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Does America has an electoral commission which supervises their election?
1 Reactions
6 Replies
330 Views
Nlisema siku ile kuwa kile kimya cha Israel ni kibaya kuliko kujibu kwake kwa haraka.nikamwambia mtu mmoja humu Ritz na ile ID yake nyingine na madogo Adiosamigo na Webabu kuwa waombee Israel...
6 Reactions
5 Replies
520 Views
https://www.youtube.com/watch?v=1dzSNBk-IPU&ab_channel=IslamicStreams
0 Reactions
4 Replies
630 Views
Majeshi ya Israel baada ya kushusha kipigo kikali kwa magaidi wa Hezbollah na wengi kuuwawa na wengine kukimbia huku wakiacha nyuma shehena kubwa ya zana za kivita ambazo Majeshi ya Israel...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Hapo juzi jeshi la Israel lililposema limevuka mpaka wanamgambo wa Hizbullah walikanusha kuona askari hao wakibuka mpaka. Ilionekana ilikuwa ni taarifa za kupima kina cha bahari tu. Leo ndio kwa...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Watafiti kumi na wanne kutoka vyuo vikuu vya Israel wametunukiwa tuzo za Hali ya Juu na Baraza la Utafiti la Ulaya (ERC), ilitangazwa Alhamisi. Tuzo za utafiti zinazofadhiliwa na EU kila moja ina...
1 Reactions
10 Replies
887 Views
Dini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye...
20 Reactions
331 Replies
13K Views
Kwa kuanza, niwafahamishe maana ya mifumo ya ulinzi .. hii ni dhana nzima inayohusu kulinda watu, wapiganaji na mali zao kwa ujumla dhidi ya pande korofi, mifumo yote ya ulinzi ina lengo la 1...
0 Reactions
5 Replies
463 Views
Back
Top Bottom