JOE BIDEN 2020. alishinda majority ya 81 million votes
TRUMP 74 MILLION
2024
TRUMP 71 MILLION MAJORITY
HARRIS 66 MILLION VOTES
IN SHORT 20 MILLION VOTE ZIMEPOTEA. HAZIJULIKANI KIZILIPO
JE...
Ni wazi huyu bwana ameishashinda Urais wa Marekani na anasubiri tu kupitishwa na kuapishwa hapo mwezi January. Kulingana na sera zake urais wake utakuwaje kwa Marekani na Dunia? Baadhi ya sera...
Uchaguzi wa Marekani ndio mkubwa zaidi duniani, kila kona ya dunia wanaufuatilia, uwe unaipenda au unaichukia Marekani.
Kwa matokeo haya ya Trump kushinda
1.Democrats wamelia kilio cha...
Nov 06, 2024 11:03 UTC
Baraza la Kiislamu la Msumbiji lajitolea kupatanisha baina ya serikali na waasi
Baraza la Kiislamu la Msumbiji limejitolea kuwa mpatanishii kati ya serikali na waasi...
Ulimwengu kumshuhudia mtawala wa kwanza wa kike wa Taifa lenye nguvu zaidi duniani ( Kamala Haris) Hii wakulungwa wameikataa
Au
Mbishi asiekata tamaa na kurudi ikulu baada ya kupoteza uchaguzi...
Kwa uzoefu wangu mdogo vyombo vya habari havitoi habari zao hivi hivi tu bali hupookea fedha ili kuirusha habari flani.
Katika muda wa saa 48 zilizopita uchambuzi wangu unaonesha kuwa kuna...
Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo limesema, Abu Ali Rida, kamanda wa Hezbollah kwenye eneo la Baraachit, kusini mwa Lebanon "ameuawa" katika shambulizi la anga.
Jeshi la Israel limesema Rida...
Trump asijichetue kudhani kwamba Biden ndio anachagua mgombea Urais Bali amefanya pendekezo lake tu.
My Take: Wagombea watapigiwa kura na kama zisipotosha Kwa Kamala basi Kuna huyu mwamba hapa...
Mshindi wa Uchaguzi wa Marekani ameendelea kupokea Salam za Pongezi kutoka kwa Viongozi wa Mataifa mbalimbali duniani
Wa kwanza alikuwa Benjamin Netanyahu wa Israel,akafuatiwa na Sir Steamer wa...
Wamarekani walishuhudia kasi aliyokuwa nayo Trump ya kushinda Urais, wakati mgombea wa Democrat alipokuwa Joseph Robinette Biden Jr.
Kuingia kwa Kamala Harris kumebadili kabisa mwelekeo; hasa...
Rais Donald Trump ambaye anamaliza muda wake ametoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani ambapo amesema katika Utawala wake, wamefanya yale waliyotakiwa kufanya na zaidi
Trump amesema kuwa, wamejenga...
Uebert Angel ameshamtabiria ushindi.
Kwa wanaomfahamu Uebert Angel, amekuwa na Historia ya tabiri zake kutimia. Baadhi ya mambo aliyotabiri na yakatimia ni pamoja na:
1. Kifo cha Malkia Elizabeth...
[emoji298]️Kwanini Wayahudi wanawachukia Wakristo Kiasi hiki?Marufuku misalaba makaburini.
Israel asilimia zaidi ya asilimia 18% ni waislam, lakini wakristo ni asilimia 1.9% tu waliwapunguza kwa...
Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini.
Swali la...
Kwa wale wa wisdom mnafahamu kuwa kuna hizi zinazotengenezwa zipo nyuma ya nani? kuna uwezekano raisi wa marekani kuwa mwanamke na si trump. kumbukeni.
---
Did The Simpsons hint at Kamala Harris...
Mods tafadhalni msiunge uzi huu popote, bunge la Marekani ni mhimili tofauti na uraisi
Kuna mabunge mawili marekani, Bunge dogo ni Baraza la wawakilishi na Bunge kuu ni Seneti.
Tayar Senate na...
Wanaukumbi.
Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao kwa kuvizia huku wakilia kwa uchungu baada ya kupigwa na Hezbollah kwenye mipaka ya Lebanon.
Cha kushangaza wao wanauwa watoto na wanawake Gaza...