International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu, Ni kwamba huyu baba nchi ishamshinda au Urusi rasmi imegeuka kuwa Chaneli ya vichekesho. Hivi karibuni imeripotiwa kuwa Urusi inafikiria kuanzisha “wizara ya ngono” kama njia ya...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Moja kwa moja.. 1. Kwa nini nawalaumu Hamas ? Sikatai ukweli kwamba Raia wa Palestine wameishi kwa mateso miaka mingi chini ya utawala wa Wazayuni,wakiuwawa kunyimwa haki za msingi nk na...
14 Reactions
63 Replies
3K Views
Baada ya kushinda uongozi ulioshikiliwa kwa karibu miongo sita na chama kimoja, hivi ni vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, kama alivyoahidi wakati wa kampeni na hata baada ya...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe...
1 Reactions
1 Replies
491 Views
Rais wa Botswana, Duma Boko, akihutubia baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo. Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, amesema anataka kuhalalisha Wazimbabwe wasiokuwa na vibali rasmi kwa...
3 Reactions
4 Replies
694 Views
Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad. Ila Wao Huyu...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure. Hilo...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Qatar inakanusha rasmi ripoti zinazosambaa kuhusu kuwatimua Hamas na kufafanua msimamo wao kuhusu upatanishi huo. Msemaji Rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje: Juhudi za Qatar kupatanisha...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya hekima ya mwanadamu na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya mwanadamu (wenye akili na hekima ya ki Mungu wamenielewa) Kama huna super natural brain...
2 Reactions
7 Replies
669 Views
Wabunge wamepiga Kura na Kumchagua tena Waziri Mkuu, Shigeru Ishiba kuendelea na nafasi hiyo licha ya Muungano wake kupoteza wingi wa Wabunge katika Uchaguzi wa Baraza la chini mwezi uliopita...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
2016 hadi 2020 ni kipindi ambacho watu wengi sana walikuwa wahanga wa kuziamini habari za kumchafua Mwamba, hasa hapa kwetu Tz ilikuwa rahisi sana kuwa brainwash wabongo, hata humu JF 98% walikuwa...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto...
7 Reactions
8 Replies
906 Views
Ingekuwa huko Galilaya ya kale uwezekano wa Trump kushinda uchaguzi Marekani ungekuwa ndoto ya mchana, angekumbana na nguvu ya dola na kila aina ya mfinyo kuhakikisha mgombea wa chama tawala bi...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi; Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups. Rais...
50 Reactions
159 Replies
6K Views
hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na...
0 Reactions
5 Replies
629 Views
Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo...
35 Reactions
707 Replies
72K Views
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
9 Reactions
152 Replies
9K Views
Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao...
12 Reactions
61 Replies
3K Views
Back
Top Bottom