Wadau hamjamboni nyote?
Makabidhiano yamefanyika wizara ya ulinzi Israel. Gallant na Katz ni marafiki wakubwa. Aumizwa sana na hasara ambayo Israel imepata kupitia vita hii pamoja na kushindwa...
Maonesho ya uagizaji ya China (CIIE) yamemalizika hivi karibuni mjini Shanghai. Maonesho haya ambayo safari hii ni ya awamu ya saba, yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani nchi nyingi zaidi...
Inaripotiwa kwamba power struggle ya kumritithi dikteta mzee Teodoro Obiang Nguema wa Guinea mwenye miaka 82 aliyeitawala nchi hiyo kwa miaka 45 ndio chanzo cha kuvujishwa video za ngono za mpwa...
Huyu mke wa Trump mbona simwoni. Sana kwenye media siku hizi.
Kipindi Trump yupo Rais walikuwa wanapendeza mno wakiwa kwenye lile dege wakitembelea nchi kadhaa.
Lkn Simeon tena yule mama mzuri...
Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika.
Katika mahojiano na Shirika la...
ISHMAEL ALIZAA MASEYIDI(WATOTO) 12 AMBAO NDIO WAARABU WA LEO. ENEO LAO LA UMILIKI NI KUANZIA SAUDI ARABIA KUELEKEA Ashuru NA MASHARIKI YA MISRI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna Watu wengi...
Hawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara.
Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia...
Huku akiendelea kusuka Watendaji wa Serikali yake Trump amelitaka Bara la Africa lijifunze kujitegemea
Trump amesema kwa sasa Republican wanacontrol Seneti tofauti na ilivyokuwa kwa awamu yake ya...
Askofu Mkuu wa Canterbury ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya kulaaniwa kuhusu mnyanyasaji mkubwa wa watoto anayehusishwa na Kanisa la Uingereza.
Uchunguzi uligundua kuwa Justin...
Times of Israel
Iran says it is willing to hold nuclear talks, but not ‘under pressure and intimidation’
Iran says it is willing to hold nuclear talks, but will not negotiate “under pressure and...
Wataalam mje hapa, China wamezindua ndege yao hatari ya kivita ya J-35 ambayo inafanana na na ndege hatari ya kivita ya F-35 ya kimarekani
Hapo ni kwenye maonyesho ikiruka...
Kwanza Kabisa, sipo hapa kusambaza chuki, wala uongo, kila neno nitakalo sehema hapa kutakua na sources so ni proven facts,
Lakini pia nita share socials zangu humu ili uni follow kwasababu hii...
Katika mkutano wa COMESA, mke wa rais wa Burundi alifika kwa gari la kifahari aina ya limosine, jambo lililowashangaza wengi.
https://www.youtube.com/watch?v=XS4TEkbAsZ0
Je tunajifunza nini hapa ktk serikali zetu kuajili matajiri ?
Ikumbukwe matajiri wa nchi zetu wengi huwa ni indirect involves in political funding japo kuna means of blackmailing n.k na kuna...
Habari za siri zimeanza kuvuja kuwa Kagame kageukwa na wazungu.
Leo mwendesha mashitaka wa mahakama ya ICC ameanza uchunguzi wa uhalifu wa kivita mashariki mwa Congo.
Inadaiwa mlengwa sio...
Trump Oyeee!!
========
Republicans officially clinched control of the House of Representatives on Wednesday night, affirming GOP control of both chambers of Congress and the White House...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF itafanya shambulizi kubwa la ndege maeneo hayo
Wakazi wakae umbali mita 500
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo na kiarabu
November 13, 2024
IDF issues...
Kundi la watumiaji huduma liitwalo Which? kutoka Uingereza, limefungua madai ya pauni bilioni 3 (zaidi ya Tsh. Trilioni 10.19) dhidi ya kampuni ya Apple, ikidai kampuni hiyo kubwa ya teknolojia...
Dunia inaendelea kukua kwa kasi.
Baada ya kusoma hii habari kutoka BBC nimegundua kwamba kumbe hakuna linaloshindikana chini ya Jua.
Habari hii imenivutia sana kuona kumbe hilo linawezekana...