International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Unajua unafiki ndio mlionao. Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli. Uturuki amerusha makombora huko Syria...
6 Reactions
94 Replies
2K Views
Admiral anasema silaha zinatolewa nyingi kiasi kwamba watashindwa kukabiliana na Mchina… Adm. Sam Paparo ana wasiwasi kwamba Marekani inatoa na kumaliza ulinzi muhimu unaohitajika kukabiliana na...
1 Reactions
6 Replies
678 Views
Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida...
15 Reactions
102 Replies
6K Views
Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China. Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo - Ushindani wa kiuchumi, marekani...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Hayo ndio yanayoendelea huko Zambia alikoshika madaraka yule Rais aliyetokea Upinzani na rafiki wa Machadema bwana Hakainde Hichilema aliyekuwa anadai kwamba yeye hawezi kandamiza Wapinzani wake...
1 Reactions
8 Replies
443 Views
Wahenga walinena, 'lisemwalo lipo na kama halipo liko njiani linakuja!' Katika hii vita Kati ya Urusi na Ukraine, Urusi ilishataadharisha mapema kuwa iwapo Mataifa ya NATO yatairuhusu Ukraine...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel...
22 Reactions
219 Replies
7K Views
Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana. Wenye hekima Watanielewa. Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Biden ameondoa marufuku kwa Ukraine kutumia makombora ya Marekani kushambulia ndani ya Urusi Joe Biden ameiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu ya Marekani...
13 Reactions
201 Replies
9K Views
"Kusema ukweli, ni kwamba watu ambao hawaendi China mara nyingi hufikiria kuwa wako nyuma, lakini unapoenda huko unavutiwa na wanachofanya katika teknolojia." –Brad Smith (Raisi wa Microsoft)...
20 Reactions
130 Replies
6K Views
Kizazi cha karne ya 21 hakiamini kuwa vita ya dunia huanza kama mzaha. Paneli ya kipindi cha Outnumbered wamejadili maendeleo ya kutisha baada ya vikosi vya Ukraine kushambulia Urusi kwa kutumia...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Jino la waziri Mkuu wa kwanza wa Congo limeibiwa jijini Kinshasa. Ikumbukwe waziri Mkuu Patrice Emilio Lumumba aliuliwa mwaka 1961 na Mwili wake kuyeyushwa kwenye tindikali. Ilivyo bahati mmoja...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Bunge la Iraqi linataka kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa kihalali, kwa sasa umri unauruhusiwa na katiba ili binti aolewe ni miaka 15, bunge linataka umri huo upunguzwe hadi miaka 9. Muongozo...
16 Reactions
315 Replies
12K Views
Technology Mark Zuckerberg announces the date that will end mobile phones and is clear about their replacement: "It will be like with computers" "There will come a point where your smartphone will...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu kwa kifupi Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili Na historia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii inaitwa mbwa kala mbwa!! Magaidi 22 wa kiisrael waliokua wakipora misaada ya gaza waangamizwa papo hapo Zaidi ya watu 20 wa genge wanashukiwa kwa wizi wa misaada ya kibinadamu walikufa...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Waziri wa ulinzi wa urusi amesema kiwa leo ukrane imerusha makombora ndani ya ardhi yake kufuatia kupewa idhini na USA USSR
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanaukumbi, Mwanamke mmoja ameuawa na watu wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulizi ya roketi yaliyofanywa na Hezbollah Jumatatu, baada ya kundi hilo la kigaidi kurusha zaidi ya roketi 100...
15 Reactions
131 Replies
6K Views
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400...
10 Reactions
106 Replies
14K Views
Back
Top Bottom