International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hawa watu wamekuwa wabunifu tangu zamani na Walipewa hiyo roho na Mungu MWENYEWE
1 Reactions
4 Replies
419 Views
Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Israel ni nchi yenye maajabu mengi Sana ya kushangaza. Nchi ya Israel ipo Katikati ya dunia ki geography. Ni karibu na Africa, Asia, Europe. Ukufika Israel, kuna bahari inaitwa dead Sea. Bahari...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Wababe wa kivita kutokea pande za redsea "Yemen", Wanamgambo wa Houthi wameenda Urusi kusaidia mapambano.Ripoti inasema idadi kubwa ya wanamgambo wamechukuliwa na Urusi kwenda kupigana na vikosi...
18 Reactions
158 Replies
7K Views
Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Katika kudhihirisha unafiki wake nchi ya Ufaransa ilitumia neno "Rais" wakati wa kuripoti habari iliyomuhusu Rais wa Gabon aliyeingia madarakani baada ya mapinduzi ilihali nchi hiyo hutumia neno "...
0 Reactions
7 Replies
687 Views
Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Deby Itno Serikali ya Chad imeamua kusitisha makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi na Ufaransa, ikiwa ni hatua ya kihistoria ya kujipambanua upya kuhusu uhuru wa...
2 Reactions
1 Replies
533 Views
Baada ya Donald Trump kuchaguliwa tena kuwa Rais, tunaweza kutarajia maendeleo makubwa kutoka kwa Elon Musk, hasa kwa sababu ya ushawishi wake mkubwa katika sekta za teknolojia, nishati, na anga...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Bunge la Uingereza (House Of Common) leo limepigia muswada kura muswada wa “assisted - dying” wa wagonjwa ambao wana terminal illness kuweza kusaidiwa kujiuwa. Wabunge 330 wamepiga kura ya ndio...
2 Reactions
5 Replies
614 Views
Wanaukumbi. ⚡RNN: Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti: "Siku ngumu kaskazini mwa nchi... maroketi yanaruka kama ndege, na tahadhari zinaendelea. Hezbollah inawadhihirishia wafuasi wake...
12 Reactions
137 Replies
6K Views
Mataifa ya Ulaya na Amerika yanaendelea kutoa onyo kwa Gaidi Benyamini Netanyahu zitamtia mbaroni na kumpiga tanganyika jeki atakapo gusa ardhi zao Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu...
12 Reactions
273 Replies
11K Views
Viwanda vya kusafisha mafuta ( oil refineries) vya barani Ulaya vimeanza kuonja joto la jiwe baada ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kuanza kufanya kazi. Kiwanda hicho cha Dangote...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Unaweza kuiita njia nyepesi ama ngumu kutokana na mtazamo wako ambayo Urusi yampasa au anaweza kuichukua ili kumdhibiti marekani dhidi ya hatua zake anazo chukua kupitia vita vya Ukraine katika...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika mgogoro wa Israel na Wapelestina ni wazi mpango wa mataifa mawili kama umeshakufa kimya kimya. Fursa moja kubwa iliyobaki ni uwepo wa taifa moja lenye kujumuisha jamii zote mbili za...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa. Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa. Taarifa...
5 Reactions
131 Replies
8K Views
Wiki iliyopita Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini haikuwa hivyo kwa Rais, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta chochote cha...
10 Reactions
98 Replies
4K Views
Bunge limeidhinisha zuio la Watoto wenye chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya Kijamii kwa Kura 103 dhidi ya 13, ikiwa ni uamuzi unaotajwa kuwa mgumu zaidi na ulioungwa mkono na Wananchi waliodai...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
KAMPUNI ya Orano kutoka nchini Ufaransa imepata hasara kubwa kulingana na taarifa yake ya fedha ya nusu mwaka ( Januari hadi Juni 2024) iliyochapishwa na Yahoo Finance. Taarifa hiyo inaonesha...
2 Reactions
6 Replies
875 Views
Back
Top Bottom