Kampuni ya Orano ya nchini Ufaransa imepoteza udhibiti wa mgodi wa Uranium wa Airlit wa nchini Niger uliokuwa ukiendeshwa na Kampuni tanzu ya Orano iitwayo Somair. Orano ambayo ni kampuni...
Afichua fununu za nia ovu za Rwanda
Asema hatuziamini, lakini hatuzipuuzi
Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete, ameeleza kuhuzunishwa na jinsi serikali na viongozi wa Rwanda...
Nimeona beberu Trump yupo kwenye ikulu ya ufaransa wanagonga mvinyo na kina macron na zelewensk
Kwanni wanamruhusu huyu mtu kufanya vikao wakati Biden hajakabidhi kijiti?
Wajuzi mniambie kwann...
Wakuu,
Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo.
Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara...
Tumesimama kando ya ikulu ya rais, moja ya jumba alimokuwa akiishi Assad.
Watu wengi, wengi wakitoka vijijini, walivamia ikulu na wamekaribia kuharibu kila kitu.
Kufikia wakati tunafika, mahali...
Shambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa.
---
Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la...
Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus.
Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa.
Ripoti za...
Wakuu,
Mambo yameendelea kushika kasi huko Syria.
Waandamanaji na wananchi wameingia kwenye Benki ya Syria (Central Bank Of Syria) na kuanza kubeba maburungutu na maboksi ya fedha.
Kwenye video...
Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba...
Wakuu,
Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka.
Huyu jamaa alikuwa anakula...
Baada ya 2015:, Game likaenda kuazishiwa Ukraine, then likahamishiwa October 7, 2023. Unaona kabsa jinsi gamela uvamizi lililofanywa na Hamas vile lietengenezwa. Haiingii akilini kwamba Shinbet...
Lakini wadau tusishabikie sana, ikumbukwe hao waasi pia ni makatili wa ile dini na wanaweza wakawa wabaya hata kuzidi wanaokimbia, yaani popote kwenye hiyo dini ni laana, mauaji, chuki na vifo...
Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo...
Wazungu ni watu wakuwapigia sana saluti wamevumilia waarabu na ndugu zao waislam naona sasa kutafika kipindi wataanza kuwaua hadharani
Vita vinapigwa palestina na lebanon weo wanaandamana Canada...
Wanajamii kwa jinsi mambo yanavyoenda napata wasiwasi inaweza kuwa Hamas na Hizbullah waliingizwa kingi na Mossad kufanya mashambulizi ya October 7 na 8 2023.
Kwanini nasema hivi:
Inawezekaa...
Tangu vita vya Israel na Hamas vianze anayesemewa kwa mabaya yote ni waziri mkuu tu wa Israel Benjamin Netanyahu wakati Israel wana Rais ambaye anasaini kila kitu!
Kwa nini Rais wa Israel...
Habari zimesambaa kwenye forums mbalimbali ikiwemo Quora na nyingine za kiyahudi, kwamba Rais wa Syria Bashar Al Asad hivi majuzi alimpigia simu Benyamin Netanyahu kumuomba amsaidie kupambana na...
Bunge la Iran limepitisha sheria Kali kuhuzu mavazi ya wanawake. Ikiwemo vazi la hijab. Kwa Sasa sheria hiyo inawataka wanawake wavae hijab inayofunika kichwa kuzima na sio upande wa kichwa na...
Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha...