International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tajiri namba moja duniani Elon Musk ametangaza kampuni yake mojawapo ya Neuralink inayofanya kazi za kuhusianisha ubongo wa binadamu na teknolojia ya computer kuja na kifaa cha kuwawezesha vipofu...
14 Reactions
107 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 IDF says senior Islamic Jihad rocket commander killed in recent Gaza drone strike By Emanuel Fabian Follow...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29 Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani...
27 Reactions
68 Replies
4K Views
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu...
19 Reactions
66 Replies
4K Views
Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) ikimtaja Matthew Livelsberger, kuwa mtu aliyefariki ndani ya gari aina ya ‘Tesla Cyber truck’ iliyolipuka nje ya hoteli maarufu ya Trump jijini Las Vegas...
0 Reactions
8 Replies
807 Views
Wahaiti wajue kwamba, mambo yanaenda kwa mipango! Au wanataka waone polisi wa Kenya wamekufa kwa wingi ndio waamini kama wanafanya kazi! Habari kamili; Shinikizo linaongezeka kwa maafisa wa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Saudi Arabia inasema imewanyonga Wairani 6 kwa ulanguzi wa dawa za kulevya huku Iran ikilaani vikali. Saudi Arabia ilisema Jumatano kwamba ufalme huo umewanyonga wanaume sita wa Iran kwa ulanguzi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Madaktari wamemzuia yeye akagoma na kuondoka kuelekea bungeni Mwamba huyo ana siku 2 tu tokea afanyiwe upasuaji na anatakiwa aendelee kuwepo hospitalini Kwa siku kadhaa...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Nimeangalia Al Jazeera Aisee Huyu Mwamba Wamwache Tu Amalize Alichopanga Kifupi Hana Hata Mpango WA Kuacha Mauwaji Ya Gaza Leo Wala Keshooo Mns Anahitaji Kizazi Kipya Gaza Hawa Waliopo Waishe Wotee
7 Reactions
54 Replies
2K Views
Makampuni Maarufu Duniani kwa Mapato katika 2024. Leo, makampuni makubwa ya rejareja ya Marekani ndiyo makampuni makubwa zaidi kwa mapato duniani kote kutokana na ufikiaji wao wa kimataifa na...
1 Reactions
6 Replies
929 Views
Cybertruck limelipuka kwenye maegesho pembezoni mwa hotel ya bwana Donald Trump, maarufu kama Trump Tower. Tesla Cybertruck ililipuka nje ya Hoteli ya Trump International, Las Vegas, Januari 1...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni shambulizi la kigaidi huko new Orleans Marekani Dereva aua watu 10 na kujeruhi wengine 30 baada ya kuendesha gari kwa spidi kubwa na kuvamia umati mkubwa wa watu...
5 Reactions
75 Replies
5K Views
Mataifa ya ulaya yamegawanyika kwa misingi ya kikabila, Pengine ni factor mojawapo ya maendeleo Katika kitu walichokosea wakoloni kwa baadhi ya nchi ni kuunganisha makabila yawe nchi moja...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Hii ni taarifa iliyotolewa na IDF The Director of Hamas Security Operations in the Gaza Strip, Major General Mahmoud Abu Salah as well as his Assistant and the Director of Investigations...
4 Reactions
12 Replies
889 Views
Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Afisa wa Polisi Nchini Zambia, Titus Phiri, amekamatwa kwa madai ya kuwaachia huru Wafungwa zaidi ya kumi na tatu ili kusherehekea usiku wa Mwaka Mpya haliyakuwa amelewa. Kwa mujibu wa taarifa...
2 Reactions
12 Replies
836 Views
China inakabiliana na mlipuko mpya wa virusi vya human metapneumovirus (HMPV), vinavyoenea kwa kasi katika majimbo ya kaskazini, hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 14, ikiwa ni miaka mitano...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima...
16 Reactions
40 Replies
2K Views
Ama wamarekani kwa sasa wameishiwa akili,eti leo wanajisifu kuwapiga maouthi wa yemen,yaani nchi inawapiga ngo????
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…