International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Imebainika kuwa Ufaransa ililipa kiasi cha Euro Milioni 60 sawa na Shilingi Bilioni 156 za Tanzania ili majasusi wake wanne waliokuwa wamekamatwa na kushikiliwa nchini Burkina Faso waweze...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Vita ya makampuni ya mitandao kati ya USA na CHINA inaelekea kutamu. Baada ya Hukumu ya kuifunga TIKTOK huko marekani hatimaye followers wa Tiktok wanahama kwa mamilionj na kujiunga na app...
3 Reactions
2 Replies
757 Views
Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Yametokea hayo Tehran muda mfupi uliopita Jaji mmoja alofariki alikuwa maarufu kuhukumu kesi zilizohusisha wapinzani wa Serikali ya Iran Hadi sasa hakuna taarifa yeyote...
1 Reactions
6 Replies
729 Views
Mnamo October 26,2024 Israel ilifanya shambulizi la kulipiza kisasi dhidi ya Iran,katika shambulio hilo Israel ilitumia anga la Iraq kulitekeleza huku ndege chache aina ya F 35 zikipenya anga la...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
2 Reactions
9 Replies
610 Views
Elon anaonekana anaendeshwa na chuki kali, ubaguzi wa rangi, na hofu dhidi ya makundi fulani. Ukweli kwake ni yale tu anayoyakubali, na chochote kinacasichokikubali kwake ni uongo. Hapendi...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: The following is the text of the hostage-ceasefire agreement reached between Israel and Hamas on January 15, 2025 Appendix I...
2 Reactions
0 Replies
620 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mwongozo wizara ya afya Israel kwa mateka watakaoachiwa Watapimwa magonjwa ya zinaa Wanawake watapimwa mimba Watapimwa ugonjwa wa Refeeding Syndrome Watakaa hospital sio...
0 Reactions
9 Replies
895 Views
Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai. Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Leo Januari 17, 2025, Mahakama ya Pakistan imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani, Imran Khan, kifungo cha miaka 14 jela na mkewe, Bushra Bibi, kifungo cha miaka 7, kwa tuhuma za matumizi mabaya...
0 Reactions
7 Replies
769 Views
China, Israel, and Myanmar emerged as the world’s three worst offenders in another record-setting year for journalists jailed because of their work, the Committee to Protect Journalists’ 2024...
0 Reactions
5 Replies
604 Views
Wadau hamjamboni nyote? Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani...
2 Reactions
6 Replies
715 Views
Muda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Boss wa Meta na mmiliki wa Facebook, Instagram, Thread na WhatsApp bwana Mark Zuckerberg amesema kampuni ya Apple haina ubunifu wowote kwa zaidi ya miaka 20 baada ya Steve Jobs kuvumbua Iphone...
19 Reactions
133 Replies
5K Views
Mwaka 2025 kama una mpango wa kusafiri nje ya nchi na kusafisha macho basi Cape Town imetajwa kama mji namba 1 kwa ubora kutembelea 2025. Jarida maarufu la Time Out limeorodhesha miji 50 bora...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Rwanda imedai Kugundua Mafuta kwenye bonde la Ziwa Kivu. https://x.com/BusInsiderSSA/status/1879804070409732449?t=0tHfcniqFTurH5qTGiJpqw&s=19 My Take Rwanda Yenye Uchumi Mkubwa itakuwa Tishio...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Baraza la mawaziri la Israel hakuna kuidhinisha makubaliono kusitisha vita hadi Hamas wakubaliane na kutimiza vipengele vyote vya mkataba husika Suala la kuachiwa...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Mungu hawezi kuwaangamiza waisraeli kwa makosa na ushetani wa natanyahu
9 Reactions
96 Replies
3K Views
Israel launches deadly Gaza attacks 120 or more killed after missiles hit targets linked to Hamas Jenny Percival and agencies guardian.co.uk, Saturday 27 December 2008 10.08 GMT Bodies...
0 Reactions
230 Replies
26K Views
Back
Top Bottom