International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Borris (rais wa zamani wa urusi) alikuwa Na Ndoto Ya Kuirejesha Tena USSR Ndo Putin anasimamia Hayo maono. Russia 🇷🇺 Kwa Sasa ni Taifa Lenye Uwezo mkubwa Mno KIJESHI kwahiyo Uwezo Huo ulikuwa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Askari 260 wa Jeshi la Ulinzi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waliokamatwa kwa kosa la kuwakimbia wapiganaji wa Kundi la M23 na kufanya uhalifu wa kivita mashariki mwa nchi hiyo...
0 Reactions
5 Replies
783 Views
Urusi imesema kuwa ilizamisha meli ya mizigo iliyokuwa imebeba silaha na vifaa vya kijeshi iliyokuwa ikielekea Ukraini siku ya Jumamosi, Machi 1. Kituo cha vita cha Telegram cha Urusi Talipov...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
US wanataka kumkimbia Mrusi Ukraine kijanjatu. Wakubali tu wamemshindwa Putin bas, nasio kutafuta visingizio vya kupewa madini ndio waweke ulinzi. Tramp hata akipewa madini, atamzuia putin...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu, Ufichuzi wa Mbunge wa Marekani Scott Perry kwamba Shirika la Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID) limekuwa likifadhili kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria uliibua hisia...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Mahusiano ya Rwanda na serikali ya Uingeleza, siku za nyuma yalikuwa mazuri. Mwaka 2022, mwezi wa nne, enzi za waziri mkuu, Rishi Sunak, serikali zote zilisaini mkataba wa mamilioni ya Euro...
0 Reactions
7 Replies
787 Views
Wabunge watatu wamejeruhiwa Jumanne, mmoja wao akiwa katika hali mbaya, baada ya vurugu kuzuka bungeni Serbia huku fataki na mabomu ya moshi yakirushwa. Mvutano ulianza wakati wa kikao cha kupiga...
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Dunia katika miaka hii mitatu iliyopita kufikia sasa imeshuhudia maajabu mengi na vichekesho visivyotarajiwa. Marekani imekuwa bega kwa bega na Urusi katika kutaka vita vya Ukraine visitishwe...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Mbunge wa Ukraine amemtaka Volodymyr Zelensky kuomba radhi kwa mienendo yake wakati wa ziara yake katika Ikulu ya White House wiki iliyopita – ambapo yeye, Donald Trump na JD Vance...
1 Reactions
0 Replies
447 Views
Bilionea Elon Musk ameonyesha kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa katika Umoja wa Mataifa (UN) na Muungano wa Kijeshi wa NATO. Akijibu chapisho la mtandaoni jana Jumapili lililohimiza hatua...
19 Reactions
116 Replies
4K Views
Zaidi ya nusu ya watu wazima na theluthi moja ya watoto na vijana duniani kote watakuwa na uzito mkubwa ifikapo mwaka 2050 hivyo kuongeza tishio la vifo vya mapema kwa mjibu wa utafiti...
1 Reactions
0 Replies
391 Views
Kama bara la Afrika tungejali mali za wananchi wetu, tungekuwa tumepiga hatua kubwa sana. Kuhusu yale majibizano, Trump amefeli vibaya mno, kwani kwa mara ya kwanza katika historia, BBC inasema...
16 Reactions
81 Replies
4K Views
Kuna jamaa kaandaa chapisho humu kifua mbele. Itikadi kali nishawaambia kati ya utapeli mkuu kuwahi kutokea dunia hii ni nyie na itikadi yenu. Mnamchumchukia netanyahu maana amewaanyoosha kisawa...
-1 Reactions
8 Replies
331 Views
Wonjun Choi, VP na Head wa Samsung Mobile Experience (MX) Division, amepandishwa cheo kuwa President wa MX Development Division. Samsung ilitangaza mabadiliko haya Machi 4, na Choi ataendelea...
2 Reactions
3 Replies
484 Views
1. Rampant Corruption and Poor Compensation One of the most significant issues plaguing the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC) is systemic corruption. Soldiers are often...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump. Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
2 Reactions
17 Replies
884 Views
Huko kwa nchi za ulaya anakosema anaenda kutafuta sapoti labda ni faraja tu lakini kwenye suala la pesa na vifaa atazungushwa sana. Kwenye umoja wa ulinzi wa nchi za ulaya na Marekani, ni...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k. Zelensky alidhani kwamba baada ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…