International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada yakusitisha kwa mwezi mmoja, Trump kasema Canada na Mexico hawajafanya lolote kuboresha hali ya mipakani. Basi ushuru wa 25 percent kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico umeanza kufanya kazi...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kati wa watu wanaothamini sana uhai wa watu wao hapa duniani ni Israel. Ikitokea raia wa Israel au Mwanajeshi wa Israel amefariki kwenye mapigano au tukio lolote lile la Kigaidi haijalishi...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Rais Donald Trump ameagiza kusitishwa kwa usafirishaji wa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine baada ya mvutano mkali kati yake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wiki iliyopita katika...
17 Reactions
149 Replies
8K Views
Mheshimiwa Mélanie Joly, Waziri wa Mambo ya Nje; Mheshimiwa Ahmed Hussen, Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa; na Mheshimiwa Mary Ng, Waziri wa Ukuzaji wa Mauzo ya Nje, Biashara ya Kimataifa na...
1 Reactions
7 Replies
327 Views
Kiongozi wa kijeshi wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ametangazia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao wa mwezi ujao (April, 2025). Nguema alishika madaraka mwaka 2023 kupitia...
0 Reactions
10 Replies
616 Views
Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Israel ni taifa lenye usiri na utata mkubwa,kutoka kwenye kuanzishwa kwake,watu waliolikaa zamani na wanaolikalia kwa sasa.Historia inatuambia kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948,lakini...
13 Reactions
129 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema mgongano wake na Rais wa Marekani Donald Trump wiki iliyopita ulikuwa wa "majuto," kwamba yuko tayari kufanya kazi chini ya...
2 Reactions
13 Replies
938 Views
Wanaukumbi. Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza. Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel...
0 Reactions
4 Replies
447 Views
Jeshi la M23(siliiti kundi tena, kwa walivyofanya, wana hadhi ya kuitwa wanajeshi), huko Kivu kusini, limezitaka taasisi zote za kiserikali kuendelea kutoa huduma kama kawaida. Kuna taasisi...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Pesa ya kujenga nchi waliyoiharibu wenyewe hawana ila ya kurusha makombora kwenda Israel na USA wanayo. MATAPELI! ============= Wizara ya Mambo ya Nje siku ya Jumanne ilirejesha tena hadhi ya...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
Uongozi wa jimbo la Beni, umetaarifiwa na serikali ya rais wa DRC Tshisekedi, kutotambua bidhaa kutoka mji wa Goma, kwa njia ya ardhi au ya anga, maeneo ya Bunagana na Ishasha, maeneo...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani. Taiwan imekuwa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Serikali ya Rwanda imesema haitarejesha pesa ilizopewa na Uingereza kwenye mpango walioingia awali wa Uingereza kupeleka wakimbizi nchini Rwanda. Mpaka sasa Uingereza imeilipa Kigali dola za...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Borris (rais wa zamani wa urusi) alikuwa Na Ndoto Ya Kuirejesha Tena USSR Ndo Putin anasimamia Hayo maono. Russia 🇷🇺 Kwa Sasa ni Taifa Lenye Uwezo mkubwa Mno KIJESHI kwahiyo Uwezo Huo ulikuwa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Askari 260 wa Jeshi la Ulinzi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waliokamatwa kwa kosa la kuwakimbia wapiganaji wa Kundi la M23 na kufanya uhalifu wa kivita mashariki mwa nchi hiyo...
0 Reactions
5 Replies
783 Views
Urusi imesema kuwa ilizamisha meli ya mizigo iliyokuwa imebeba silaha na vifaa vya kijeshi iliyokuwa ikielekea Ukraini siku ya Jumamosi, Machi 1. Kituo cha vita cha Telegram cha Urusi Talipov...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
US wanataka kumkimbia Mrusi Ukraine kijanjatu. Wakubali tu wamemshindwa Putin bas, nasio kutafuta visingizio vya kupewa madini ndio waweke ulinzi. Tramp hata akipewa madini, atamzuia putin...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu, Ufichuzi wa Mbunge wa Marekani Scott Perry kwamba Shirika la Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID) limekuwa likifadhili kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria uliibua hisia...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…