International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waasi wa Houthi nchini Yemen wameipa Israel makataa ya siku nne kuondoa vikwazo vya chakula, dawa, na misaada kuelekea Gaza, wakitishia kurejea mashambulizi yao ya baharini iwapo hatua hiyo...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Ukraine baada ya majeshi ya Urusi kuanza kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyo Kursk ambayo yalikuwa yanadhibitiwa na Ukraine tangu Agosti 2024. Russia ilifyatua...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Jeshi la anga...
16 Reactions
199 Replies
21K Views
Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID. Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa. Lakini AID haiwezi...
0 Reactions
9 Replies
838 Views
Walimu wawili walionekana wakigombana katika chumba cha ofisi ya wafanyakazi (Walimu) katika Shule ya Ibru College, Agbarha-Otor, Jimbo la Delta, Nigeria. Video iliyoachiwa mtandaoni inaonyesha...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Hivi majuzi, video ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha askofu mmoja wa Nigeria akifanya ibada isiyo ya kawaida ya kugusishana ndimi na askofu mwingine wa kiume. Tukio hili lilizua...
12 Reactions
62 Replies
3K Views
TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
39 Reactions
383 Replies
50K Views
Trump awe makini coz watu wana hamu naye! Safari hii wamemuwahi jamaa kabla hajafanya yake! Huduma ya Ulinzi wa Rais wa Marekani (Secret Service) ilimpiga risasi mwanamume mmoja nje ya Ikulu ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimewahi kufika South Africa uchumi wa south Africa ni mkubwa mno manake ni nchi iliyondelea sana ila ni nchi yenye jobless wengi mno Roughly ukikutana na vijana 100 bas 36 ni pure jobless .
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Serikali ya Zimbabwe itawalipia malipo ya awali wazungu waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara hivi karibuni, kama fidia ya kuchukuliwa ardhi zao katika mageuzi ya ardhi. Tume maalum...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake. Pia Soma Watu weusi...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Trump ataja maeneo na kiasi ambayo mafisadi wa Marekani waliyalitumia kuiba pesa za Marekani kwa kisingizio cha kusaidia Africa Msikilikilize kuanzia dakika 1:20 akianza kutema cheche
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Mmoja wa waliothirika na hama hama ndani ya Gazi ni mzee Yasser Alsharafa ambaye alipohojiwa kuhusiana na matamshi ya hivi karibu kutoka kwa raisi wa Marekani, amesema hatishiki na maneno hayo...
1 Reactions
6 Replies
474 Views
Majuzi kati kulikuwa na habari za kurudishwa kwa majeruhi walio DRC kwa ajili ya misheni ya SAMIDRC. Baada ya hapo ikawa kimya kimetamalaki. Zaidi tukasikia M23 wameiteka Goma na baada ya apo...
4 Reactions
12 Replies
773 Views
Niaje waungwana, Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli...
22 Reactions
193 Replies
11K Views
Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje: "Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu...
6 Reactions
76 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk anasema ni wakati sasa wa Poland kufikiria kuwa na silaha za juu zaidi ya za kawaida ikiwemo silaha za nuclear. Hatua hii inakuja baada ya Marekani kujiondoa...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Jeshi la anga la Ethiopia limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa al-Shabab katika Mkoa wa Shabelle ya Kati nchini Somalia, Shirika la Fana Broadcasting Corporate liliripoti hapo...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…