International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

17/03/2025, the Council imposed restrictive measures on nine individuals and one entity responsible for acts that constitute serious human rights violations and abuses in the Democratic Republic...
0 Reactions
5 Replies
782 Views
Shambulio la kijeshi la Israel dhidi ya Hamas, lililofanyika alfajiri la leo, shambulio moja, moaka sasa vifo vimefikia watu 400, wakiwemo maafisa wa juu wa Hamas. Majeruhi ni zaidi ya 500, na...
2 Reactions
7 Replies
486 Views
Tofauti na Siad Baare aliyekua kiongozi mwanamapinduzi na mjamaa Kagame ni kiongozi mbinafsi mwenye umbari na malengo ya kurejesha dola ya kihistoria ya watutsi iliyokua inatawala mbali ya wabantu...
0 Reactions
1 Replies
448 Views
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, ameionya Marekani kupitia shirika la habari la serikali, KCNA, akisema kuwa “msaada wowote wa kijeshi” ambao Marekani itatoa katika Asia ya Kaskazini...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
1. Kwanini kuna vikundi viiingi vidogovidogo vya majeshi ndani ya DRC? FARDC, FDLR, ADC, Wazalendo... 2. Wale maaskari wana mafunzo ya kijeshi au ni raia wa kawaida tu wanapewa magwanda ya...
1 Reactions
6 Replies
509 Views
🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza. Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Naona majibishano ya maneno makali yaliyokosa staha ya kidiplomasia na makabiliano halisi ya kijeshi barani Ulaya na Amerika (migogoro ya Russia vs Ukraine, Trump kutaka kuzichukua Canada na...
1 Reactions
7 Replies
674 Views
Wakati nchi za Afrika Mashariki zikiendelea kumpet pet Kagame, masaa machache yaliyopita Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza rasmi kuwawekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Afrika Mashariki wa...
13 Reactions
72 Replies
3K Views
Magaidi waliompindua Rais Assad wa Syria wameapa kupambana na Magaidi wenzao wa Hezbollah kwenye mpaka wa Syria na Lebanon hii inatokana na Hezbollah kuingia Syria na kuwateka nyara askari wa...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu, Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia. Akizungumza...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Moja ya taifa lililofurahia kwa kuvunjwa kwa sauti ya Marekani (VOA) ni China ambayo imesema redio hiyo kwa lugha zote kubwa duniani ilikuwa ni kiwanda cha hadhithi za uongo. Katika hatua za hivi...
0 Reactions
5 Replies
495 Views
Alliance Fleuve Congo (AFC/M23) inasikitika kwamba taasisi fulani za kimataifa zinadhoofisha makusudi juhudi za amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kukwamisha mazungumzo...
0 Reactions
4 Replies
581 Views
Baada ya Magaidi wa Houth huko Yemen kutishia kuanza kuzishambulia Meli za ki raia zinazopita kwenye bahati nyukundu mara tu Israel ilipozuia misafara ya magari ya misaada kuelekea Gaza usiku wa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel Hawana kingine cha maana cha...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Generali Andrew Ehonza enzi za uuhai wake. Picha iliyopelekea kifo chake. Baada ya kupiga picha na raia wa Minembwe alikokuwa kiongozi, miaka ya nyuma, kwa sasa picha hii imekuja kutafusiliwa...
0 Reactions
8 Replies
816 Views
Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia Al Sudani alitangaza siku ya Ijumaa kwamba Abdullah Miki Musleh al Rifai ambaye pia hujulikana kama Abu Khadija kiongozi wa kundi la kigaidi cha Isis cha Iraq na...
2 Reactions
6 Replies
705 Views
akikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Utawala wa Trump unazingatia kulenga raia wa nchi hadi 43 kama sehemu ya marufuku mpya ya kusafiri kwenda Marekani, ambayo itakuwa pana zaidi kuliko vizuizi vilivyowekwa wakati wa muhula wa kwanza...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa. Shambulia hilo...
3 Reactions
7 Replies
979 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…