Nyaraka muhimu zinazohusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy ambazo Rais Trump ameruhusu ziwekwe hadharani zimetaja kwa kina Miji ambayo CIA wana vituo vya kuendeshea operesheni...
Trump alisema Gaza imekuwa kuzimu, hakufai kwa maisha ya mwanadamu.
Hamas wanasifiwa na wajahidina wasiofikiria kwamba wameshinda vita. Je huu ndio ushindi sasa walioupata mbele ya Israeli...
Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.
Naye Donald Trump mara...
Utaratibu wa kuwarejesha nyumbani wanajeshi 190 wa Afrika ya Kusini wanaolinda amani nchini Congo DRC 🇨🇩 umeshindikana. Kwa mujibu wa City Press, wanajeshi hao wote ni majeruhi na kwamba taarifa...
Mkurugenzi wa SpaceX, Elon Musk, amethibitisha kwa Fox News kuwa alitoa msaada wa kuwarejesha wanajeshi wa NASA waliokuwa wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS), lakini utawala wa...
Kutengeneza kitu kinachoitwa, A strong union and in order to do something with that solidarity, huwenda ndilo jambo gumu sana hapa Dunian
Nimeshindwa kuielewa Dunia, hasa kwenye jambo hili, pale...
Kampuni ya akili mnemba ya Kimarekani OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kuipiga marufuku akili mnemba Deepseek kutoka China ikiita kampuni inayopata usaidizi wa serikali na kudhibitiwa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Eli sharabi awafanya wajumbe wa Baraza la Usalama la UN kububujikwa na machozi ya huzuni kubwa akiwaeleza jinsi magaidi ya Hamas walivyokuwa wakiwatesa
ASEMA ameshuhudoa...
Telegram sasa ina zaidi ya watumiaji bilioni 1 kwa mwezi, na kuwa program ya pili maarufu zaidi ya kutuma ujumbe ulimwenguni (ikiondoa WeChat, ambayo ni maalum kwa China) 🥈
Ushiriki wa watumiaji...
Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja...
Nchi tatu za Afrika Magharibi, Mali, Niger na Burkina Faso hivi karibuni kwa nyakati tofauti zimetangaza uamuzi wao wa kujitoa katika Jumuiya ya Francophonie (OIF). Nchi hizo ziliwahi kujulikana...
Hatua ya Marekani imejiri kufuatia tuhuma za ubaguzi dhidi wa Afrikaner uliohusishwa na utawala wa rais Ramaphosa kupitisha marekebisho kwenye sheria za umiliki wa ardhi na kuipa serikali mamlaka...
Askari wa ISRAEL sasa hivi waka katikati ya Gaza tayari kuanza kazi ya kuwanyoosha magaidi wa Hamas kama ilivyo ada askari hao wako huko kwa ajili ya kuwatokomeza Hamas,Kuwarudisha mateka nyumbani...
IDF imedondosha vipeperushi mashariki mwa Shajaiyah (kaskazini mwa Gaza), ikiwataka wakaazi kuhama:
"Uko katika eneo hatari la mapigano Ondoka mara moja na ukae mbali iwezekanavyo."
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema Marekani na Israel zimechanganyikiwa baada ya kuona nchi za kiarabu zikiungana dhidi yao,
Tamko hilo amelitoa baada ya wanajeshi wa Houth kuzishambulia meli...
Jaji Theodore Chuang wa nchini Marekani ameuzuia utawala wa Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuchukua hatua zozote za kulifunga Shirika la Misaada la Marekani (USAID) ambapo amesema taratibu za...
Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel.
Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani...
Usiku wa kuamkia leo ving'ora vilisikika ndani ya Israel kuashiria ujio wa kombora hasimu, wateule hao wa mchongo walioonekana kuhaha kutafuta pahala salama pa kujificha.
Hata hivyo IDF ilidai...
"Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye...
Katika taswira ya ulimwengu wa kisasa, Uingereza bado inajulikana kama taifa lenye historia tajiri ya mafanikio ya kiuchumi. Hata hivyo, chini ya uso wa fahari hiyo, kuna ukweli mchungu: taifa...