International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ukweli usemwe Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza Hali ya sasa ilivyo sasa In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Nchi kadhaa za kiarabu zilizokubaliana kutoa mabiloni ya dola za kimarekani kuijenga upya Gaza ni kundi la watu waoga sana ambalo Netanyahu na Trump wanalidharau sana. Siku chache tu tangu azimio...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Marco Rubio anasema Marekani ilibatilisha angalau viza 300 vya wanafunzi wa kigeni siku 5 zilizopita. Waziri wa maswala ya kigeni wa Marekani Bw. Marco Rubio anasema kuhusiana na uwanaharakati wa...
3 Reactions
9 Replies
502 Views
Israel Channel 14: "Shambulio kubwa dhidi ya Iran litaanza hivi karibuni, shambulio ambalo halijawahi kutokea tangu Vita vya Kidunia vya pili."
2 Reactions
7 Replies
794 Views
Vita vinavyoendelea mashariki ya kati kwenye nchi mbali mbali vinazidi kuwa tata. Marekani wiki mbili zilizopita iliamua kushambulia maeneo ya Yemen baada ya tishio la Houth kuwa wangerudi...
1 Reactions
12 Replies
909 Views
Maafisa wa uokoaji walisimama kwa dakika moja ya kimya karibu na jengo la Sky Villa condominium, moja ya maeneo yaliyoathirika zaidi na tetemeko la ardhi la Machi 28, katika jiji la Mandalay mnamo...
1 Reactions
0 Replies
558 Views
Ningependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu. Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
US Senator Cory Booker has broken the record for the longest speech ever delivered in the Senate. The New Jersey Democrat's marathon address, a symbolic protest against President Donald Trump, in...
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama...
3 Reactions
2 Replies
622 Views
B-1 Ndege-Vita ya Kimkakati kutoka Marekani nayo inaelekea huko Mashariki ya kati ili kuungana na Baba wa madege yote B-52 watakuwa huko Mashariki ya kati kusubiri kupangiwa kazi ya kufanya Katika...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais...
12 Reactions
42 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Katika Mabadiliko ya Ghafla, Netanyahu Afuta Uteuzi wa Mkuu wa Shin Bet Kufuatia Upinzani wa Washirika Masaa 24 tu baada ya kutangaza uteuzi huo, Waziri Mkuu amebadili...
1 Reactions
9 Replies
795 Views
Majeshi shupavu ya Israel yameweza kujipenyeza na kuingia Iran kupitisha mpaka wa Iraq na kuweza kuyashambulia makazi ya Ayatollah Khamenei mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Ameangamizwa: Hassan Badir, anayejulikana pia kama Haj Rabia, mwanachama wa Hezbollah anayehusika na ushirikiano kati ya IRGC ya Iran na mashirika mengine ya kigaidi ya Palestina dhidi ya Israeli...
1 Reactions
13 Replies
575 Views
Wanaukumbi. ⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu" Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Hii ni siku ambayo jeshi la Israel waliamua kwenda kufanya mashambulizi ya anga nchini Iran kama kulipiza kisasi baada ya mashambulizi yaliyofuatana ambayo Iran iliita 'true promise one' na 'true...
16 Reactions
100 Replies
5K Views
Amid an unusual concentration of American forces in the Middle East, many are wondering whether a military strike on Iran’s nuclear facilities is imminent. However, beneath the radar, a war has...
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Kweli inawezekana mission ilikuwa ngumu lakini mm nilijua wakisha badilishana mateka wa mara ya kwanza hao mateka wengine Israel wataenda kuwakomboa wenyewe kwasababu watakuwa wameisha wasoma...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
"Tunafahamu Rwanda inajaribu kutuvamia kupitia ardhi ya DRC ili wasingizie kuwa ni waasi wa Red Tabara na M23. Lakini tunawaambia nasi tunaweza kushambulia Kigali" Burundi imetishia kujibu vikali...
13 Reactions
55 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…