Hii ni hotuba ya Sheikh wa Palestina Issam Amira akihutubia katika Msikiti wa Al-Aqsa.
Hotuba hiyo ilipata ukosoaji na shutuma nyingi katika ulimwengu wa Kiarabu kwa sababu ukweli unauma...
Tunisia: "Shahidi wa Kuinua Bendera ya Palestina"
Fares Khaled, kijana wa Tunisia, aliamua—wakati wa maandamano ya wafuasi wa maandamano ya Gaza jana—kutundika bendera ya Palestina kwenye mnara...
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.
Watu hao kwanza ni...
Majeshi ya israel yaendelea na operation zao kuisafisha Rafah hapo wakiyaangamiza Mahandaki yaliyokuwa yanatumika na magaidi wa Hamas. Rafah sasa hivi itakuwa chini ya israel.
Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru.
BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods...
Deir al-Balah, Gaza ya kati: Israel usiku huu imefanya shambulizi lenie nguvu isiyo ya kawaida ulitokea muda mfupi uliopita, kufuatia onyo la kuhamishwa wakazi wa eneo yalikotokea makombola hayo...
Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
A number of Wednesday's front pages reflect on the Duke of Sussex's appearance in court in London challenging a Home Office decision to set the level of his personal security while he is in...
Rais wa marekani Donald Trump bado anaendeleza msimamo wake juu ya nchi ya China katika suala zima la kuiwekea ushuru.
Pia Trump amehitaji usaidizi wa haraka wa Federal Reserve kuondoa interest...
JUST IN: 🇺🇸 Former Treasury Secretary Summers says US might be headed for a "serious financial crisis."
https://x.com/WatcherGuru/status/1909929351207940320?t=aqkE5sHJW7RJL35lYk_xtg&s=19
Mtafuta hifadhi afungwa jela kwa kutukuza ugaidi.
Muislamu mwenye msimamo mkali ambaye aliwasili nchini Uingereza akiomba hifadhi amefungwa jela kwa kuunga mkono kundi la kigaidi la Islamic...
JUST IN: 🇪🇺 🇺🇸 European Union to impose between 10% and 25% tariffs on US goods.
https://x.com/WatcherGuru/status/1909962445570834677?t=BG_6OJW2HO9f-l2Eos6FPQ&s=19
Uchumi wa Russia unapungua kwa kasi, na misukosuko zaidi juu ya upeo wa macho.
Uchumi wa Russia umepungua sana katika miezi ya hivi karibuni, kulingana na data ya hivi karibuni ya kiuchumi, na...
Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru.
JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to...
Moja kwa moja.
Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali...
Baada ya Rais Idd Amin wa Uganda kuiteka ndege iliyokuwa imewabeba waisraeli na kuilazimisha kutua katika uwanja wa Entebe, kuna uokoaji uliandaliwa na askari wa kikosi kazi huko Israel.
Haya...
Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa.
Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu...