IDF inasema kuwa imekamata Uchochoro wa Morag na Gaza, na kuikata Rafah kutoka Khan Younis
IDF inatangaza kwamba imekamilisha kukamata U hochoro wa Morag kusini mwa Ukanda wa Gaza, na kuukata mji...
Marekani anasema sera ya tarrifs inahimiza katika kumfaidisha zaidi China kuliko yeye kwa muda mrefu.
China anasema hatua ya Marekani iliyochukuwa ni ya kionevu na wako tayari kushindana nae hadi...
Sheikh atoa amri wanawake waislamu wakipanda bodaboda wapigwe pamoja na madereva bodaboda
Hivi kwenye waislamu kuna watetea haki za kibinadamu na haki za watoto, wao huona vipi hizi sheria za dini...
Wakuu,
Shirika la habari la Reuters hivi karibuni limeripoti kwamba Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha kuwa kampuni ya Microsoft iko mbioni kununua Tiktok
Taarifa hiyo kutoka Reuters...
Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata?
Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la...
Wizara ya Biashara ya China, leo imetangaza rasmi kuwa China imeongeza ushuru kwa bidhaa zote za Marekani kwa 40%
Sasa ushuru utapanda kutoka 85% kufikia 125%
Wakati hayo yakiendelea waziri mkuu...
Jeshi la Sudan linaloongozwa na Waislamu lilitangaza kuunga mkono Hamas, na kuahidi kusaidia kuiangamiza Israel. Likiongozwa na wahalifu wa kivita wanaotakwa na ICC Omar al-Bashir na Ahmed Haroun...
Helikopta Yateremka Kwa Ajali Ya Kushangaza
Chini ya siku chache zilizopita, Idara ya Uchunguzi wa Ajali na Matukio ya Afrika Kusini ilitoa ripoti kuhusu tukio la ajabu.
Safari ya kawaida ya...
Habari wandugu,
Kwanza nimpongeze Trump kwa kuichekecha Dunia kisomi
sio yule kibabu kilichopita kuichekecha Dunia kwa kumwaga damu Ukraine.
Hipo hivi wawekezaji wakubwa nchini USA waliamua...
Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi.
Iran iko tayari kushirikiana na Marekani katika mazungumzo siku ya Jumamosi kuhusu mpango wake wa...
"Katika usiku wa seder, tunakusanyika na wapendwa wetu kusimulia safari kutoka utumwa hadi uhuru.
“Lakini mwaka huu, familia nyingi zitaona viti vitupu—wale mateka wetu bado wanashikiliwa na...
Ndege vita/jet na drone zilianguka Lebanon, israel ikijitetea kuwa ni tatizo la kiufundi
Wakati huohuo helicopter ilianguka huko gaza na kuua askari wawili wa israel,utetezi wao ni ule ule, tatizo...
Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani.
Ndo maana jamaa wanatudharau tu...
Yule dada mrembo press wa white house karolina leavit.amesema ushuru kwa vita zinazotoka uchina zitaongezeka kwa 20% kutoka 125% na kufikia 145% kwa sasa lkn sio mwisho.
Tunataka turudishe ajira...
Baada ya mkanganyiko wa mambo mengi yakiwemo masuala ya Iran, Tarrif Rais wa Marekani amtuma mjumbe wake ili kuzungumza na Putin kuweka sawa mambo yao.
A Tanzanian court on Thursday charged opposition leader Tundu Lissu with treason, which carries the maximum penalty of death, as tensions mount in the East African nation before October elections...
Wiki iliyopita Pentagon imeamuru kuhamishwa kwa angalau Mitambo 2 ya Mifumo ya ulinzi wa anga MIM-104 "Patriot" za kombora la ardhini hadi angani na mfumo wa ulinzi wa kombora la eneo la anga za...
On 25th April 2023, USAID AFYA YANGU project in collaboration with the Korogwe District Council health management team conducted a school health symposium event at Joyful day secondary school...
Bilionea Mpalestina na Mmarekani Bashar Masri alijiuzulu kutoka wadhifa wake katika Baraza la Dean katika Chuo Kikuu cha Harvard cha Kennedy School of Government baada ya kushutumiwa na familia za...
Kuanzia msimu wa masomo wa mwaka huu wa vuli, shule zote katika jiji la Beijing zitalazimika kutoa angalau masaa nane ya mafundisho ya Akili Bandia (AI) kwa mwaka wa masomo, kwa mujibu wa taarifa...