International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais Vladimir Putin wa Rasia Leo siku ya Jumatatu April 28 ametangaza kusitisitisha mapigano kwa muda wa masaa 72 kuanzia usiku wa manane wa May 8 mpaka usiku wa manane WA may 10 huku akiitaka...
0 Reactions
2 Replies
486 Views
Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati. Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia...
17 Reactions
137 Replies
4K Views
Oyaaah, wazee wa kazi. Tutunze afya zetu aisee!!! Naiona fursa ya kupiga pesa ileeeeeee inasogea. Huko USA wazee wa kazi wamekuja na mashindano ya riadha ya manii, sampuli za WAZUNGU...
3 Reactions
8 Replies
803 Views
Wakati Iran inateseka na mvua za rasha-rasha kuzima mioto ya Banar ABBAs na Tehran Houth nao usiku kucha hawalali kutokana na kipondo wanachopata kutoka kwa majeshi ya anga ya Maekani sehemu...
4 Reactions
6 Replies
564 Views
Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa...
4 Reactions
12 Replies
937 Views
Vita au mpango❓ Rais Trump anaamini kuwa anafaulu katika mazungumzo na Iran na kwamba makubaliano yanakaribia: "Nadhani tunapiga hatua. Nadhani kutakuwa na makubaliano. Yatatokea. Itatokea hivi...
1 Reactions
3 Replies
400 Views
Pamoja na kwamba papa Francis hakuacha mamilioni ya pesa katika utajiri wake,vile vile hata maziko yake hayakuwa ya kifakhari sana.Yamefanana sana na vile waislamu wanavyozikana. Mazishi ya...
15 Reactions
108 Replies
5K Views
Another Italian, Cardinal Matteo Zuppi, Archbishop of Bologna, is now the third name on British bookmakers’ lists, at 7 to 1, ahead of Guinean Cardinal Robert Sarah. The election of a Black...
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Houth wametangaza kuwa shambulio la leo kutoka jeshi la Marekani limelenga gereza ambalo wahamiaji haramu kutoka nchi za kiafrika huwa wanazuiliwa. Jumla ya mahabusu wapatao 68 wameshathibitishwa...
2 Reactions
10 Replies
620 Views
Mambo mengi muda mchache, yetu macho ila Mosad bana... ================ Iran repelled a large cyber attack on its infrastructure on Sunday, said the head of its Infrastructure Communications...
2 Reactions
4 Replies
702 Views
Waziri wa Kilimo wa Namibia, Mac-Albert Hengari, amefukuzwa kazi baada ya kutuhumiwa kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 miaka mitano iliyopita. Kwa mujibu wa polisi, Hengari alikamatwa siku...
0 Reactions
9 Replies
686 Views
Katika muda wa saa 24 zilizopita, watu wasiojulikana waliingia kwenye kaburi la Hafez al-Assad, babake Rais wa zamani wa Syria, Bashar al-Assad, katika mji wa Al Qardahah, walifungua kaburi lake...
0 Reactions
5 Replies
434 Views
IDF imetangaza kwa watu nchini Lebanon kuhama majengo fulani huko Beirut ambayo yatashambuliwa na Drone kutoka angani ambazo zinazunguka juu ya Beirut. Binafsi Siwezi kuvumilia tunapomwonya adui...
1 Reactions
3 Replies
458 Views
Yanayoelekea kutokea karibuni hatusemi ni ushujaa wa Hamas pekee bali ni mipango ya Mungu ambayo kibinadamu haina majibu. Waziri wa ulinzi wa Israel aitwaye Israel Katz ni mmoja ya watu 4...
2 Reactions
10 Replies
816 Views
Mbunge wa Lebanon kwa Hezbollah: Toa silaha zako au utuache na uende kuanzisha nchi yako Biar Abu Aassi, Mbunge wa Lebanon kutoka chama cha Vikosi vya Lebanon: "Tunasisitiza kwamba Hezbollah...
0 Reactions
7 Replies
529 Views
27 Aprili 2025 Vancouer, Canada https://m.youtube.com/watch?v=KzeegXPn-OU Watu waliokuwa katika sherehe za siku ya Lapu Lapu tarehe 26 Aprili 2025 katika mtaa moja wa mji wa Vancouver Canada...
0 Reactions
2 Replies
417 Views
Mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama nchini Burkinafaso (ANR) Oumarou Yabre ameweka tahadhari kadhaa na kupitia watu wake ndani na nje ya Jeshi na idara wamefanikiwa kugundua chai iliyokuwa apewe...
18 Reactions
78 Replies
5K Views
Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Hali ya Maisha Cuba ni ngumu. Kuna uhaba wa chakula, mgao wa umeme na maji. Hata sanitary pads za wanawake ni shida. Mamia ya wa Cuba waliorudishwa Kwa nguvu kutoka Marekani hasa Jimbo la...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Imam Mkuu wa Al-Azhar, Ahmed El-Tayeb, ambaye pia aliwahi kuwa Mufti Mkuu wa Misri, ni msomi mashuhuri wa dini ya Kiislamu, mwenye elimu, ujuzi, na uelewa mkubwa wa masuala ya dini na dunia kwa...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…