Hata wewe Mtanzania kama una safari ya Yemen 🇾🇪 usiende ni Hatari kwa sasa
===
Jeshi la Israel Jumanne lilitoa onyo kwa watu kuondoka katika maeneo yanayozunguka uwanja mkuu wa ndege katika mji...
Ni siku ya pili ya mashambulizi, siku ya jana kwenye shambulio la kwanza Israel imelipua bandari kubwa ya Hodeidah na kiwanda cha saruji cha al-Imran.
Mapema siku ya leo katika muendelezo wa...
Anachofanya myahudi ni kurudisha teke kutokana na ngumi aliyopigwa.
Adui wa yemeni ni houthi na iran.
Ila hawa vijana wa itikadi kali hawatakaa hawaelewe maana wamezoea fujo na mioyo yao ipo...
By Sharon Braithwaite, Caitlin Danaher
All mobile phone signals will be deactivated in the Vatican on Wednesday ahead of the highly secretive conclave to elect the next pope, Italian state media...
zaidi ya ndege 30 za kivita za Israel zimezingira muda huu ndani ya Yemen huku zikipiga bandari , uwanja wa ndege na vituo vyote vya mawasiliano.
Hali ya tahadhari imetolewa muda huu Kwa raia...
Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka.
Mpango huo ni pamoja...
Kufuatia kufariki kwa Papa Francis, seti kali ya sheria na itifaki zimewekwa katika mwendo, kuongoza mpito kwa ajili ya kuchagua Papa ajaye. Tamaduni hii inaanzia kwa Mtakatifu Petro—Papa wa...
Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump
****
NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA
"Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja...
Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu: Myahudi si mtu wa kuchezewa – ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa.
Lakini yote haya hayawezi...
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumapili alitangaza kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa filamu zinazotengenezwa nje ya nchi hiyo, akisema tasnia ya filamu ya Marekani inakufa kwa "kifo cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Vatican imethibitisha kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameugua nimonia (bilateral pneumonia) hali inayohusisha maambukizi kwenye mapafu yote mawili.
Kwa...
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina...
Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana...
Israel imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeidah nchini Yemen kujibu mashambulizi ya uwanja wa ndege wa Houthi
Maafisa wa Israel wamethibitisha kuwa jeshi la anga la Israel...
Katika onyesho la kushangaza la kutovumiliana kidini, Wahindu wenye itikadi kali nchini India walibomoa nyumba ya raia wa Kiislamu kwa madai ya kuimba "Pakistan Zindabad" wakati wa mechi ya...
Kufuatia ripoti kutoka Iran:
Milipuko na moto huo ulitokea katika kituo cha (kisicho cha nyuklia) "Montazere Ghaem - ambacho ndicho muuzaji mkuu wa umeme magharibi mwa Tehran.
Kando ya mtambo...
Mei 2025, vikosi maalum vya Urusi kutoka kwa jeshi la serikali la Afrika vilitumwa Burkina Faso kumlinda Rais Ibrahim Traoré, kufuatia majaribio ya hivi karibuni ya mapinduzi na ukosoaji mkubwa wa...
Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani...
Hapa tunaongelea Ugunduzi na mchango wa technolojia zilizobadilisha maisha ya watu dunia.
Waisrael wapo milion 15 tu duniani katika dunia yenye watu Billion 8.
Lakini mchango wao kwenye hii...