Mzuqa
Yani huyu bwana mdogo hatari sana. Umri mdogo tu 32 anawapelekesha watu vibaya sana.
Ni yeye ndie alilazimisha waziri wa mambo ya nje Marekani Rex Tillerson kufukuzwa kazi na Trump. Hii...
Hamas wamekubaliana na marekani kumuachia raia pacha wa israel na marekani hapo kesho,baada ya mazungumzo ya Hamas na marekani
Marekani hivi karibuni imekua ikiingia makubaliano na makundi hasimu...
Serikali ya kijeshi ya nchini MALI imetangaza kusitishwa kwa shuguli zote za vyama vya kisiasa nchini humo hadi hapo itakapotangazwa tena. Tangazo hilo limetolewa tarehe 7 May 2025 kupitia...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF na Mossad wameupata mwili wa Sgt. Daraja la Kwanza Zvi Feldman, ambaye hajapatikana tangu Vita vya Kwanza vya Lebanon vya 1982 vya Sultan Yacoub, Waziri Mkuu Benjamin...
Baada ya magaidi wa Hamas kuonekana wakijikusanya kwa wingi katika jengo moja huko Khan younis majeshi ya Israel yaliamua kulishambulia kwa bomu jengo hilo na kuangamiza kila kitu ki licho kuweto...
Wahouthi huko Yemen wametangaza mkakati wa kulifunga anga la israel kwa kupiga viwanja vya ndege
Kwa ile shughuli iliyofanywa leo ben gurion, sidhani kama kuna ndege itaeanda israel
Shirika la...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo
Syrian minister says Qatar to provide $29 million a month for salary payments
By Reuters
Qatar is set to provide Syria with $29...
https://www.instagram.com/p/DJb7VKly4tE/?igsh=MTdyMjI3eTRiaHlxag==
My Take
Kiwango hicho Cha ugunduzi kitaifanya Somalia kuwa mzalishaji namba 3 wa Mafuta Afrika nyuma ya Nigeria na Libya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kumbe Rais Wa Burkina Faso Ibrahim Traore tabia ya kufanya mbwembwe za kuweka Silaha Kiunoni ikiwa nje nje pamoja na kusalimia watu na viongozi mbalimbali kwa kuwapa Tano...
Makamu wa Rais wa Ufilipino, Sara Duterte, ameondolewa madarakani kwa tuhuma kadhaa, zikiwemo kupanga kumuua Rais wa nchi hiyo, ufisadi wa kiwango kikubwa, na kushindwa kulaani vikali hatua za...
Pakistani wapo milioni 247 wakati India wapo zaidi ya milioni 1400 (bilioni 1.4) hivi lakini Pakistan wameweza kumshughulikia India ipasavyo
Hili nawaambiaga humu hata Rwanda hatupaswi...
✓✓✓New details on the million-dollar theft✓✓✓✓✓
In the recent history of the small town of West Haven, two major events have unfolded. The first was the theft of one million dollars, committed...
HUYU NDIYE PAPA MPYA.
Robert Francis Prevost, aliyezaliwa tarehe 14 Septemba 1955 mjini Chicago, Marekani, ni Papa mpya wa Kanisa Katoliki, Anachukua jina la Papa Leo wa XIV. Kuchaguliwa kwake...
Kuna habari kuwa baadhi ya wanajeshi walioasi nchini Guinea walifanya jaribio la kutaka kumuua kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo Capteni Mousa Didas Kamara. Habari zinasema kuwa mlinzi wa Capteni...
Guineas Sekouba Konate, the coup leader with a difference
Guineas interim junta leader General Sekouba Konate delivers a speech at the Alpha Yaya military camp in Conakry in this on...
Marekani imepeleka angalau ndege sita za kivita aina ya B-2 stealth katika kisiwa cha Diego Garcia, hatua inayotafsiriwa kama onyo kwa Iran kufuatia kuongezeka kwa mvutano Mashariki ya Kati...
Dakika 20 zilizopita, kombora la balestiki la Houthi lilirushwa kuelekea Israeli. Picha za waogeleaji wa pwani huko Tel Aviv zikikatishwa na ving'ora. Kombora hilo lilipopolewa na mifumo ya...
Rais wa Burkina Faso The son of Africa kipenzi cha dhati Kwa wengi na mfano wa kuigwa inasemekana alipokuwa shuleni darasani tangu elimu ya awali Hadi elimu ya juu alifanya vizuri sana.
Walimu Na...
Maadhimisho ya kusherehekea miaka 80 toka kushindwa kwa majeshi ya NAZI yaliyoshindwa Majeshi ya Urusi, yamefanyika Moscow, huku yakihudhuriwa na Marais wa nchi rafiki wa Urusi bila Marais wa...
Wanaukumbi.
⚡️BREAKING: "Matukio mawili ya usalama" huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam.
Al-Qassam ililipua jengo lililokuwa limenaswa na askari wa Israel mjini Rafah na kuwaacha wanajeshi sita...