Iran Leo wamepata pigo la kuondokewa na Mkuu wa Majeshi kufuatia shambulio la Israel. Apumzike kwa amani Jenerali
===
Kamanda Mkuu wa Walinzi wa Mapinduzi Jenerali Hossein Salami, ameuawa katika...
Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years"
Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali...
Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na...
There are estimated to be only a few hundred thousand believing Catholics left in the world today. It is believed that even these few do not actually believe in Jesus Christ,but in the doctrine...
Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is...
Wadau hamjamboni nyote. Advertisement
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024...
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Africa, Dr Adesina Akinwumi (PhD) toka Nigeria anakabiliwa na kashfa nzito za Rushwa, Upendeleo katika ajira na Upandishaji wa vyeo kwa watu toka Nigeria. Uchunguzi...
Wadau hamjamboni nyote.
"Niliambia upande mwingine, nilisema, una siku 60 za kufanya makubaliano. Siku ya 61, walishambulia. Leo ni 61 kweli, na lilikuwa shambulio la mafanikio," Trump...
Rais wa marekani Donald Trump amesema taifa lake litajilinda na kumlinda Israel kama Iran ikijibu hii ni kufuatia mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.
===
Rais wa Marekani Donald Trump...
Taifa dhalimu la Israel laendelea kujichimbia shimo lenyewe baada ya kuishambulia Iran.Kwa hofu iliyonayo kutokana na majibu ya Iran nchi hiyo imefunga anga lake lote.
Kwa sasa usafiri wa salama...
Kila mwaka tulipokuwa tunaandika juu ya umahiri wa Israel tuliambiwa kiboko yake ni Hizbollah na kwamba wayahudi walipigwa mwaka 2006.
Sasa miaka 18 baadae ndio hawa waliokuwa wanasifiwa? Ninaona...
Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kukutana baadaye leo Ijumaa kujadili mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran, wamesema wanadiplomasia.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas...
Statement from Secretary of State Marco Rubio
“Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces...
Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
Israel, kazi zingine ni kama gelesha tu
Ila chaguo lao namba moja, ni tekenorojia hasa ya uvumbuzi wa siraha na uwezo wa kuzitumia
Wamewekeza akili mingi kwenye jambo hilo kuliko kingine chote...
Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia?
Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi...
Wadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na...
Vyombo vya habari vya Israel sasa vinaripoti kuwa ndege zote zisizo na rubani za Iran zilizokuwa zikielekea nchini humo zimenaswa.
Home Front Command - ambayo inatoa maonyo ya makazi - inasema...
Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.)
Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of...