Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa...
Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani...
Wadau hamjamboni nyote, bTaarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalumu chini ya ardh underground bunker saa 10 jioni, taarifa kamili hapo chini kwa...
Wadau hamjamboni nyot.
e BREAKING NEWS
Israel will hit Iran energy sites after Tel Aviv injuries, source says
A source close to the Israeli government told Iran International that an...
Chuki mbaya sana….
Mission zako zikiongozwa na chuki mwisho wa siku Unajinasa kwene mtego wako mwenyewe.
Toka 1979 Iran ilivopindua serikali ya kifalme na kuweka serikali ya kiislam
Ambayo...
Hi nchi ni ya kisenge kweli na wananchi wake walivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli...
Wadau hamjamboni . nyote
Milipuko miwili imetokea karibu na kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi cha Fordo nchini Iran, shirika la habari la Fars linalohusiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana.
Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story
Majibu ya Iran yataishangaza dunia
Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku...
Waziri wa Ulinzi wa Israel ameionya Iran leo Jumamosi kuwa mji wake mkuu Tehran "utawaka moto" iwapo itaendelea kuvurumisha makombora ya masafa kuelekea Israel.https://p.dw.com/p/4vu3p...
Marekani imeamrisha wanajeshi wake wote kwenye base za mashariki ya kati waingie kwenye bunker ili kuokoa viwiliwili baada Iran kuanza maangamizi ndani ya Israel
U.S. Servicemembers at two bases...
Wadau hamjamboni nyote nyote. Shambulio la Israel limethibitishwa kwenye kambi ya kijeshi huko Kermanshah Shirika la Habari la Tasnim, lenye mafungamano na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi...
Muda huu Iran imetuma drones zitakachokua masaa kufika, walipigwa maeneno yote ambayo walikua wanatumia kutuma yale magobore yao.....Wamebaki na nguvu ya kutuma vi-drones tu
IDF Spokesman Effie...
General wa Israel aliyechelewa kuingia kwenye mapango ametafunwa mara moya na makombora ya Iran
🇮🇷🇮🇱 | BREAKING: Highly credible reports confirm the Israeli Navy Commander has been killed in...
Hii video imeshtua wengi, Telaviv mitaaa imegeuka Kama Gaza.
This is worse than Ever[emoji1313]
https://x.com/AlanRMacLeod/status/1933673107736105000?t=RNEkIJQhB9oaV0miCVMQMg&s=19
Muda huu hapa ndege nyingine ya F-35 ya Israel imeangushwa huko magharibi mwa Iran
Naona jamaa wameactivate air defense yao vizuri zaidi
More info to come
[emoji845][emoji1130][emoji1134]|...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema limewaua wanasayansi na wataalamu tisa wa nyuklia wa Iran.
Hapo awali, jeshi la Israel lilisema liliwaua sita katika wimbi la kwanza la mashambulizi dhidi...
Houthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wamesema wamefyatua makombora mawili ya masafa marefu (ballistic missiles) kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Ulinzi la...