International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na...
6 Reactions
93 Replies
1K Views
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza kuanzisha chama chake cha kisiasa, hatua inayotafsiriwa kama kujitenga na Pastef, chama kilichomfikisha madarakani kwa ushirikiano na mshirika...
2 Reactions
3 Replies
197 Views
Hezbollah ilifanya sherehe za mazishi kwa magaidi wake 89 siku ya Ijumaa katika vijiji 8 katika Wilaya ya Tyre kusini mwa Lebanon. **** Washindi wakuu wa Upinzani wanaendelea kuingia kwenye pipa...
1 Reactions
1 Replies
106 Views
Mtoto wa miezi 18, Vincent Fiordilino aliyekuwa ametangazwa kufariki dunia Nchini Marekani baada ya kuzama kwenye bwawa la kuogelea, alikutwa akiwa bado hai saa kadhaa baadaye katika chumba cha...
1 Reactions
7 Replies
178 Views
Na wala sio jambo jipya, waliwahi kufanya hivyo 2024. 2025 vita ya siku 12 na hata mwaka huu, Hakuna hata ndege moja ya Israel iliyozuiliwa na mifumo ya anga ya Iran. In simple ni kwamba Israel...
2 Reactions
43 Replies
497 Views
A picture is worth a thousand words https://www.youtube.com/watch?v=crXNFWfPliE https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw https://www.youtube.com/shorts/lCWMlYIS8uU...
2 Reactions
13 Replies
622 Views
Idadi ya vifo kutokana na matetemeko mawili ya ardhi yaliyotokea nchini Venezuela imeongezeka na kufikia 3,342, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na wizara ya habari ya nchi hiyo siku ya...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Jioni ya march 17 Iran wametangaza kwamba kikosi cha majasusi kutoka Iran wamefanya Operesheni walioiita "Operation Delete" na kufanikiwa kumueliminate Senior mmoja ambaye ni waziri ndani ya...
7 Reactions
28 Replies
723 Views
Mbunge Siglada Mligo ni Mbunge anapigania Wananchi wa Tanzania pamoja na kupewa vikwazo mbalimbali za Taarifa na Miongozo kutoka kwa Wabunge wa ccm!!!! Watanzania tumuunge mkono Mbunge huyu!!!
1 Reactions
4 Replies
104 Views
Haya maneno ya kiburi, jeuri na kujiamini. Israel wameshaona kwa sasa Iran haina tena nguvu. Na wanasema watawapiga Iran wao peke yao. Hawatashirikiana na yeyote. Yaani hawata subiri mtu aseme...
3 Reactions
50 Replies
787 Views
Tulisema sisi wakati flani. Irani kuna siku atakuwa anaomba ili afanye mambo yake basi Israel ifunge zip. Yaani kwa sasa Iran haiwezi piga deki au kunyanyua kiti Israel ikiwepo. Inajua...
1 Reactions
9 Replies
266 Views
Shughuli za kijeshi za Israeli dhidi ya kundi la kigaidi la Hezbollah ziliongezeka kote kusini mwa Lebanon usiku kucha na leo, huku mashambulizi makali ya anga katika maeneo ya Bint Jbeil na...
1 Reactions
1 Replies
89 Views
Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa. Miezi minne sasa ana hofu...
6 Reactions
23 Replies
486 Views
Wazungu wanaoishi nchini Afrika ya Kusini sasa wameamua. Hawapendezwi na chuki na ubaguzi unaofanywa na wanaojiita wazawa wa hiyo nchi. Naomba tumsikikize ili tupate pa kuanzia.
4 Reactions
16 Replies
509 Views
IN CONGRESS, July 4, 1776. The unanimous Declaration of the thirteen united States of America, When in the Course of human events, it becomes necessary for one people to dissolve the political...
0 Reactions
5 Replies
180 Views
Wanakumbi. 🇪🇺🇮🇷 Mataifa ya Ulaya yanaonekana kukubali kimya kimya ada za Iran kwenye usafiri wa Mlango wa Hormuz kama jambo lisiloepukika. Sasa wanalenga tu kuhakikisha ada hizo zinatumika sawa...
0 Reactions
5 Replies
195 Views
Kwa kweli vita hii ya Iran na Marekani imetuonyesha kuwa Marekani siyo nchi ya kuiamni hata kidogo hata mkiingia nayo Makubaliano. Hazikupita hata wiki mbili tangu Marekani na Iran wawekeane...
11 Reactions
23 Replies
769 Views
Iran has warned the US and Israel against any attacks during the upcoming funeral processions for late Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, who was killed in the opening strikes of the war, as...
3 Reactions
14 Replies
348 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…