Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea...
Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu" - kauli ambayo sasa inaonekana kuwa muhimu...
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au...
Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran - Al Arabiya Aliyekuwa mlinzi wa muda mrefu wa Katibu Mkuu wa Hezbollah Hassan Nasrallah Abu Ali al-Khalil aliuawa...
22.09.2019 Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Jumamosi alisema Iran inahusika na mashambulizi ya Aramco. "Tuna uhakika kwamba makombora yanayolenga Aramco yanatoka kaskazini, sio Yemen. Saudi...
Jeshi la Marekani limepeleka ndege zake za kivita za kisasa zaidi aina ya F-35A Mashariki ya Kati, huku likiendelea kushambulia waasi wa Houthi nchini Yemen — kundi linaloungwa mkono na Iran...
Acha akili kubwa iendelee kuongoza dunia na itakuwa hivyo milele
Najifunza mengi sana kwenye hii vita
Ukiangalia mashambulizi ya pande zote Mbili, Iran na Israel
Huwenda uwezo wao ni mmoja tu...
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za...
Mlio sema Israel ana control anga tukawambia hamna lolote Missiles zinaruka. Sa hizi hapa fighter Jet za Iran zinaruka hebu nipeni hapo jibu labda zinaelekea kwenda piga Israel. Leo tena karibu...
Ni kama vile serikali ya Marekani inamilikiwa na Israel. Inawezekana vipi akasema Tulsi ( mkuu wa intelligence) haujui kitu basda ya kuulizwa kua report ya march 2025 inaonesha Iran hana nuclear...
Kwa Ayatollah Khamenei hakutania aliposema Israel ijiandae kupata maafa makubwa katika vita.
Baada ya kupigwa na kuharibiwa kwa hospitali kubwa nchini Israel ambayo Netanyahu huwa anatembelea...
Flight data shows two B-2 bombers taking off from US, flying toward Guam
Today, 1:11 pm
Two B-2 bombers have taken off from Whiteman Air Force Base in Missouri towards the US military base on the...
Tetemeko la Ardhi la Kipimo cha 5.1 Laitikisa Kaskazini mwa Iran Wakati Israel Ikiendeleza Mashambulizi ya Anga
Shirika la Jiolojia la Marekani (USGS) limesema kuwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa...
Iran imetangaza kuwa wanawake na watoto 45 wameuawa tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel, huku wengine 75 wakijeruhiwa.
Katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia televisheni, msemaji wa...
Kwa uwezo wa kijeshi na teknolojia ya kisasa, ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-2 Spirit (stealth bomber) inaweza kuharibu kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow (au Fordo Fuel Enrichment Plant...
Swali hilo limekuwa likiulizwa na watu wengi, hasa katika nyakati hizi tunapoona Taifa la Israeli likipitia mateso, vita, au mashambulizi makali. Huenda hata wewe unajiuliza: “Je, ni kweli Mungu...
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Truth Social Rais wa Marekani, Donald Tru,p ameandika Juni 19, 2025 ""Siku nyingi za mapumziko zisizo za kazi nchini Marekani. Zinatugharimu mabilioni kwa sababu...
Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site.
Hakuna ripoti ya majanga japo...