International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Marekani na Israel zilikuwa zikijiandaa kulipiza kisasi haraka na kikali kwa Iran usiku kucha. Shukrani kwa ujasusi uliopangwa kwa njia tata za majasusi na marubani wa Israeli. Ilipobainika kuwa...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali ya Iran imekubali manyuklia yamesambaratishwa, ila makobaz humu JF yameshupaza na kutokwa mishipa utosini yakipinga kwamba hamna kilichotendeka kwenye hivyo vinu.... Mkibisha sana...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This...
4 Reactions
84 Replies
4K Views
Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea...
14 Reactions
178 Replies
7K Views
Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!! Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee...
9 Reactions
116 Replies
4K Views
Kwa miaka mingi Tangu nyakati za Uhuru Kenyatta na sasa Ruto serikali ya Kenya ilikuwa katika bonanza la kukopa pesa ndani na nje ya nchi kwa pupa huku ikiwaaminisha raia wake deni lao ni himilivu...
3 Reactions
3 Replies
361 Views
Kwa siku ya tatu mfululizo, maandamano dhidi ya Utawala wa Faure Gnassingbé, Madarakani kwa miaka 20, yalifanyika nchini Togo jana. Baada ya wenye Mamlaka kutangaza mikusanyiko hiyo ya kuzindua...
0 Reactions
2 Replies
265 Views
Moussa Abu Marzouk, mbele, anahudhuria mazishi ya Saleh Arouri, huko Beirut, Lebanon, Januari 4, 2024. (Picha ya AP/Hussein Malla) Kiongozi wa juu wa chama cha kisiasa za kigaidi cha Hamas Moussa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Ipo haja ya kuamini kuwa vinu vya nyuklia vya Iran ilikuwa ni kwa ajili ya matumizi ya kiraia na tafiti za kielimu. Inashangaza sana kuwa mataifa kadhaa yameweza kumiliki silaha za nyuklia kimya...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Sekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel. Aidha vita hiyo...
25 Reactions
103 Replies
4K Views
Usiku wa jana umethibitisha tena kile ambacho wachache wamekuwa wakikisema kwa sauti ya chini: Israel huweka kambi zake za kijeshi kama Kambi ya Rabin katikati ya maeneo yenye msongamano mkubwa wa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Thousands line streets to mourn Iranian generals, nuclear scientists killed during war with Israel By AP Today, 8:34 am Mourners gather in Enghelab Square to attend the funeral ceremony of the...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
BARAZA LA WAWAKILISHI MAREKANI NA UTENGENEZAJI WA WATU NA ALIEN Katika kikao cha mwisho kilichofanywa na Kamati ya Usimamizi wa Baraza la Wawakilishi kuhusu Mambo Yasiyoeleweka ya Kijeshi (UAP)...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Haya hapa ni matokeo ya vita kati ya Iran na Israel kwa njia ya kitaalamu, kwa kuzingatia takwimu halisi, tathmini ya kiintelijensia na matokeo ya kijeshi, bila chuki, ushabiki wa kidini, wala...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Urusi imerusha kombora katika mji wa viwanda wa Samar kusini mashariki mwa Ukraine na kusababisha vifo vya watu watano huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa. Gavana wa mji huo Serhiy Lysak...
3 Reactions
10 Replies
850 Views
Jeshi la Marekani halikutumia mabomu ya aina ya “bunker buster” kwenye moja ya vituo vikubwa vya nyuklia vya Iran mwishoni mwa wiki iliyopita, kwa sababu kituo hicho kipo ndani sana kiasi kwamba...
3 Reactions
9 Replies
650 Views
Takriban Wapalestina 18 wameuawa baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kulenga kitengo cha polisi cha Hamas kilichojaribu kudhibiti soko katika mji wa Deir al-Balah katikati mwa...
2 Reactions
7 Replies
503 Views
Iran imeomba mataifa ya Qatar, Saudi Arabia na Oman kumshawishi Rais wa Marekani, Donald Trump, ili iishawishe Israel kusitisha mara moja mashambulizi yake na kwa upande wake, Iran iko tayari...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Raia wa Israel waliopiga picha makombora ya Iran madhara na uharibifu uliotokea wameanza kusakwa na kukamatwa na vyombo vya dola vya Israel Wanashutumiwa kwa makosa ya kumsaidia Adui...
17 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…