Wakuu,
Huko nchini Marekani, Chama cha Democrats kimemteua Zohran Mamdani, mwenye asili ya kutoka Uganda na India, kuwa mgombea wake katika kinyang’anyiro cha Umeya wa Jiji la New York baada ya...
Urusi imekuwa nchi ya kwanza duniani kutambua rasmi serikali ya Taliban nchini Afghanistan, takriban miaka 4 baada ya kundi hilo kurejea madarakani mnamo Agosti 2021. Moscow imesema itashirikiana...
Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho
Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya...
Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House.
Trump...
Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka
Yafuatayo ni maandishi ya mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati Steve Witkoff...
Dunia imechoshwa na hawa Wazayuni
Walioeneza ushoga na usagaji na ponografia ni wao
Ni mawakala wa Vita Dunia nzima
Ni waasisi wa Ubaguzi wa Rangi dunia nzima
Ni waasisi wa chuki na...
Madhara ni makubwa mno, hii ndo lists ya hasara walizopata Israel katika vita vyake vya siku 12 na Iran
1.Zaidi ya Waisrael elfu 18 wamebaki bila makazi hapo ni Telaviv tu
2.Hasara ya Trilioni...
Wakuu,
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330.
Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa...
Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema...
Ukraine imeonya kuwa kukatizwa kwa shehena za silaha za Marekani huenda kukachochea Urusi kuendeleza vita nchini humo, ambayo sasa ni mwaka wake wa nne.
Siku ya Jumanne Ikulu ya White House...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha la Equatorial Guinea, Baltasar Engonga Ebang, amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh milioni 230...
Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)
Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha...
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa magenge ya kihalifu yamedhibiti karibu mji mzima wa Port-au-Prince, mji mkuu wa Haiti. Takriban asilimia 90 ya jiji hilo sasa liko mikononi mwa magenge, huku ghasia...
Tesla imekumbwa na pigo kubwa la mauzo kutokana na mchanganyiko wa sababu za kisiasa, ushindani wa kibiashara, na hali ya kutoaminika sokoni. Uwezo wa kampuni kurudi kwenye ukuaji utategemea...
Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House
Trump...
Mhariri mashuhuri wa gazeti la Zimbabwe Independent, Faith Zaba, amekamatwa na kuzuiliwa jijini Harare siku ya Jumatano kwa kuchapisha makala ya kejeli inayomkosoa Rais Emmerson Mnangagwa, hatua...
Trump alidai hivi karibuni kwamba Elon Musk angekuwa “rasmi anarudi Afrika Kusini” ikiwa serikali ya Marekani itakata misaada kwa makampuni yake. Hii ilitokea alipokosoa muswada wake wa matumizi –...
moja ya viongozi wakuu wa kidini nchini Iran 🇮🇷 Ayatollah Makarem Shirazi, ametoa wito kwa waislam kote Duniani, kuwaua Donald Trump na Benjamin Netanyahu, akiwaita viongozi hao kuwa ni “maadui wa...
Nchi hizi mbili zimeanza mchakato wa kupitia upya tekinolojia wanazotumia kwenye ulinzi wa anga baada ya Israel kuiangamiza Iran kwa kiwango kikubwa mno.
Jamii nzima ya kimataifa imepatwa na...