Waziri wa Afya nchini Tunisia amefariki kutokana na mshutuko wa moyo baada ya kushiriki katika mbio za kuchangisha fedha za kusaidia kupambana na ugonjwa wa saratani.
Slim Chaker, 56 aliugua...
Chuo Kikuu cha Mount Kenya, mjini Thika, kimefungwa mara moja kutokana na taharuki ya kisiasa nchini.
Usimamizi chuo hicho ulisema jana kwamba ulichukua hatua hiyo baada ya majadiliano ya kina...
Wapiganaji wa Uganda wamefanya mashambulizi katika kambi ya kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Shambulizi hilo limemuuwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) na...
Unaweza ukajiuliza kuwa kuna uwezekano wa mtu wa kawaida kumuoa mtoto wa Mfalme wa Swaziland, Mswati (III) ajulikanaye kwa jina la Princess Sikhanyiso.
Binti wa Mfalme Mswati (III), Princess...
Spika wa Bunge la Ethiopia amejiuzulu kwa kile kinachotajwa kuwa ni kuonesha malalamiko yake dhidi ya hatua zilizochukuliwa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya watu wa kabila la Oromo.
Abadula...
Lifestyle
Ross Baird,TechCrunch 17 hours ago
Dear Silicon Valley,
You used to be the envy of the world. Over the last decade I’ve seen countless cities try to become you, from the Silicon...
Waziri wa Afya Tunisia, Slim Chaker amefariki baada ya kupata mshtuko wa moyo aliposhiriki mbio za kuchangisha fedha za kupambana na saratani
Waziri huyo mwenye umri wa miaka 56 aliugua baada ya...
Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho katika uzao wa Kim jog-il (raisi wa pili wa Korea Kaskazini).
Kwa sasa ndiye kiongozi wa nchi hiyo na alichukua cheo hicho baada ya kifo cha baba yake...
Watafuta ajira huko Scotland wanapewa safari za bure kwa njia ya reli katika jitihada za kuondoa moja ya vizuizi vinavyozuia watu kupata ajira.
ScotRail Alliance ilisema kuwa watu wanoatafuta...
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, amempandisha cheo dada yake mdogo, na kumpa madaraka zaidi katika chama tawala cha wafanyakazi.
Kim Yo-jong, anayeaminika kuwa na umri wa zaidi ya miaka...
Trump kujiondoa mkataba wa Iran
Rais wa Marekani, Donald Trump anapanga kujiondoa katika mkataba wa nyuklia na Iran katika tangazo analopanga kulitoa wiki ijayo, kabla ya muda wa mwisho uliowekwa...
Karibu tani 3,800 za cocaine za thamani ya karibu dola milioni 260 imekamatwa na maafisa wa kimataifa katika pwani ya Hispania.
Madawa hayo ya kulevya yalipatikana kwenye mashua moja kati ya...
Trump hapokei mshahara na amekata pensions na kila pesa watakayolipwa iwe speech unaweza usipate pension kabisa.Senate imepitisha.ESTABLISHMENT watakoma.Trump hawapi connection at all.Source...
I watched this video by Kenzo. You wouldn't tell he is a Tanzanian artist, the video was shot on what seems to me like Cape Town's Long street. The people involved seem to be really enjoying...
Muda si mwingi yanayotokea Spain kwa jimbo la Catalonia kutaka Uhuru wao yatatokea kwenye majimbo ya Marekani pia kama watu kama Trump wataendelea kuitawala Marekani.
Maafisa wa Madagascar jana walitangaza marufuku ya kutembelea jela ili kuzuia kuenea ugonjwa wa tauni ambao hadi hivi sasa umeshauawa watu 36 nchini humo.
Msimamiaji wa jela za Madagascar, Arsen...
Wandugu ..swali langu hili naomba msaada wenu haswa kwa wajuzi wa mambo..kwa. Taswira inayoonekana wakatalunya wanataka kuwa huru.swali Uhuru wa namna gani kwani uhispania inaitawala catalonia...