DONALD J TRUMP

DONALD J TRUMP

john agrey

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
1,280
Reaction score
2,080
7c663b22fb42e95ded2cfcafc150d9be.jpg

Sababu inayonifanya niendelee kumpa heshima huyu babu. From 8% to 100%
Wanasiasa wetu wana kitu cha kujifunza hapa.
 
Huyu babu juzi aliwazingua wale wachezaje kuwaita SOB, baada ya wao kupiga goti wakati wimbo wa taifa ukiimbwa kabla ya mechi kuanza.
Alipata upinzani mkali sana lakini alisimamia anachokiamini naona hadi jana waliobaki na msimamo wao wa kupiga goti ni wachache sana.
Barack Obama yeye alisema ni haki yao hivyo nikama alikuwa pro players na hakuweza kukemea hali hiyo.
Donald ni mtu ambaye akiona kitu hata kama jamii itamuona chizi, fala mjinga atakisema tu na hiyo ndio njia pekee y kuleta mabadiliko unayoyataka.
Wanasiasa wetu wana cha kujifunza hapa.
 
Back
Top Bottom