kyna tofauti kubwa kwa Marekani na Hispania..utamaduni,uwezo na lugha umechangia HispaniaPrediction
Ya zenji yamekushinda,unawaza ya spain na USAMuda si mwingi yanayotokea Spain kwa jimbo la Catalonia kutaka Uhuru wao yatatokea kwenye majimbo ya Marekani pia kama watu kama Trump wataendelea kuitawala Marekani.
hiyo ni lugha ya pili...Sio majimbo yote Marekani yanazungumza kiingereza na utamaduni , sheria na utaratibu unaofanana. Majimbo mengine yanaongea Spanish
Huu unabii wako ni vigumu sana kuuona ukitimia. Majimbo yanayounda US ni tofauti kabisa na catolonia. Majimbo ya US ni state within a state huwezi kulinganisha na jimbo la catolonia ndani ya SpainMuda si mwingi yanayotokea Spain kwa jimbo la Catalonia kutaka Uhuru wao yatatokea kwenye majimbo ya Marekani pia kama watu kama Trump wataendelea kuitawala Marekani.
Hatu Rumi expire ya Ottoman ilikuwa imara kuliko US. Weka akiba ya maneno ili uje kuyatumie huko mbeleni.Huu unabii wako ni vigumu sana kuuona ukitimia. Majimbo yanayounda US ni tofauti kabisa na catolonia. Majimbo ya US ni state within a state huwezi kulinganisha na jimbo la catolonia ndani ya Spain
Hata hivyo unadhani hilo wakubwa hawajaliona? Unafikiri hakuna kitu walijifunza kutoka kwa USSR? Kuiona au kusubiri kuona marekani imegawanyika ni kazi ngumu sana japo inaweza kutokea ila sio kwa kawa staili hii ya catolonia.
Siku akitokea world's super power mwingine ndo US atagawanyika na kufa kabisa. Tusichojua au tunakijua lakini hatukipendi ni kuwa US ndo Rumi wa zama zetu. US hakuibuka kwa dharura kama Tanzania, watu timamu wameitengeneza US kwa karne nyingi wakiwa na malengo yao. US ni tool ya watu ndugu yangu. US ni fimbo mkononi mwa mtawala feki wa dunia
Uko sahihi. Kiuhalisia wa Marekani ni watu ambao hawako huru, hawana amani hata kidogo, wengi wao wamechanganyikiwa kiasi cha kuweza kufanya lolote na chochote. Ni kama watu waliotekwa utumwani na matajiri. Ndio maana kuna watalii wengi sana kutoka taifa hili ili kujaribu kwenda kupoza ubongo. Watu ni masikini sana kule kupita kiasi. Mabepari ndio wanaoamua kila kitu na ndio maana Obama aliweza kuitawala Marekani kwakua alioneka a kama MTU ambaye atapunguza makali ya ubepari.It is a matter of time,ipo siku Marekani itagawanyika,nani alijua marekani yatajatokea maandamano barabarani ya kumgrnga raisi wao? hii imetokea utadhani ni zile nchi zilizodhaniwa kwamba hayina ukomavu wa kidemokrasia,kwa hiyo unapoambiwa Marekani itatengana majimbo yake usibishe,wao si malaika,mpaka sasa kuna vikundi vya chini kwa chini vinapinga muungano huo wa usa.hatuwezi jua vikundi hivyo vitakua kwa kasi gani au itikadi yao zitakubaliwa na wananchi waliowengi kwa muda gani ndiyo mana nasema it is a mater of time!.
Yani wewe hakuna unachoelewa kabisa nafuu tu ukae kimya kwani inaonekana Marekani unaifahamu kupitia kwenye vijiwe tu.Uko sahihi. Kiuhalisia wa Marekani ni watu ambao hawako huru, hawana amani hata kidogo, wengi wao wamechanganyikiwa kiasi cha kuweza kufanya lolote na chochote. Ni kama watu waliotekwa utumwani na matajiri. Ndio maana kuna watalii wengi sana kutoka taifa hili ili kujaribu kwenda kupoza ubongo. Watu ni masikini sana kule kupita kiasi. Mabepari ndio wanaoamua kila kitu na ndio maana Obama aliweza kuitawala Marekani kwakua alioneka a kama MTU ambaye atapunguza makali ya ubepari.
Acha uongo wewe! Jimbo gani Marekani hawazungumzi kiingereza?Sio majimbo yote Marekani yanazungumza kiingereza na utamaduni , sheria na utaratibu unaofanana. Majimbo mengine yanaongea Spanish
Wengine hawalijui hill mkuu wakisikia marekani wanafikiri wote kina Denis Rodman US ni taifa pekee na la ajabu duniani...kuna wamarekan walio majimbo mengine hawajui na hawaelewi chochote kinachoendelea washingtonSio majimbo yote Marekani yanazungumza kiingereza na utamaduni , sheria na utaratibu unaofanana. Majimbo mengine yanaongea Spanish

Wakuchanganya mchanga...Katiba ya Marekani unafahamu vizuri au unadhani kila muungano ni kama wa Zanzibar na Tanganyika???
