Wadukuzi wa Korea Kaskazini wamelenga kampuni moja ya vipindi televisheni nchini Uingereza ambayo inatengeneza kipindi wa kuigiza kuhusu nchi hiyo.
Kipindi hicho ambacho kilitarajiwa kuandikwa...
U.S.
PRESIDENT TRUMP DOESN’T KNOW HE’S THE PRESIDENT OF THE U.S. VIRGIN ISLANDS
BY JOHN HALTIWANGER ON 10/13/17 AT 11:45 AM
UPDATED--Is President Donald Trump aware residents of the U.S. Virgin...
Harare, Zimbabwe: Rais Robert Mugabe amekubali kugeuza kongamano la mwaka la Zanu PFlililopangwa kufanyika Desemba kuwa mkutano mkuu wa congress unaotarajiwa kutumika kumshusha Makamu wa Rais...
Katika mbinu mpya za udukuzi. Hamas wamefanikiwa kudukua wanajeshi wengi wa jeshi la Israel.
Taarifa zinasema kuwa Hamas wamekuwa wakitumia Application moja kuwatafuta wanajeshi wa Israel...
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino siku ya alhamis ametishia kuwafukuza mabalozi wanaowakilisha umoja wa nchi za Ulaya, na kupendekeza kuwa angeweza kuwapa masaa 24 ili kuondoka nchini mwake...
Askari walimshtukia kijana huyo baada ya kupita kwenye vituo vitatu bila kusimama huku gari hilo likielekea kwenye kambi ya majeshi ya Umoja wa Mataifa kwa spidi kali.
Polisi mjini Kabul wamesema...
It is good to be part and parcel for this forum, though I have been one of the effective participator by reading of ll what other stake holder has been contributing, I think its time also to share...
Mwanasoka mstaafu wa kimataifa George Weah na Makamu wa Rais wa Liberia watachuana kwenye marudio ya uchaguzi wa Urais yatakayofanyika Novemba 7,
Hayoyalisemwa na tume ya Uchaguzi siku ya...
Kampuni ya Yapi Merkezi ya Uturuki imeshinda tenda ya ujenzi wa Awamu ya pili ya Reli ya kisasa (SGR) urefu wa kolomita 422. Kampuni hii imezishinda Kampuni zingine 15 zlizoshindanishwa nazo...
Nimestushwa na muamko wa haraka na wa mapema mno wa kupiga kura wananchi wanaoishi jimbo la catalan au catalonia yenye mji mkuu wa Barcelona kutaka ijitawale yenyewe hatamae kuibuka kwa 90% za...
Malumbano kati ya 'North' N.K na 'West' U.S.A yanaendelea kutokana na mahusiano yao kutokuwa na uhakika wa muafaka kimazungumzo. Kaimu balozi wa NK, UN amegusia mazoezi ya kivita ya U.S katika...
Igweeeeeeeeeeee!
Wadogo mambo, wakubwa shikamooni.
Nachukua nafasi hii kuomba ushauri kwenu wakaka zangu na wadada popote mlipo.
Eti jamani kati ya kwenda kusoma na kutafuta maisha (kuwa raia...
Duuh..!! Bila shaka U.S inajiandaa kwa vita na NK.. We have seen and heard war of words kati ya U.S and NK for a while now, nadhani Trump anajiandaa kuliamsha Dude..!! Maskini Kiduku..!!
Serikali ya jimbo moja nchini Nigeria imempa heshima rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, kwa kumjengea sanamu kubwa ya shaba na kuipa barabara moja jina lake.
Wakati akifanya ziara katika jimbo...
Hili limetokea Nigeria,je lingetokea nchini mwako ingekuwaje?
======
Lagos – A Nigerian court has reportedly dismissed charges filed against a man in Ogun state, who named his dog 'Buhari'...
TAKRIBAN wanakijiji 2,000 nchini Zambia wameshinda kesi ya kudai HAKI ya kuishitaki kampuni ya kimataifa ya Vedanta Resources inayoendesha shughuli za uchimbaji madini ya kopa kiasi cha...
2 p.m.
Portuguese media are reporting that the death toll in the country’s spate of deadly wildfires has risen to 31, with several others missing.
The Civil Protection Agency had said earlier...
Ndege ya shirika la Indonesia ya AirAsia imelazimika kugeuka na kurudi Australia baada ya marubani kujulishwa kuwa kulikuwa na tatizo la hewa katika eneo la abiria la ndege hiyo.
Ndege hiyo ya...
October 15, 2017
Austrian Poised to Become Europe's 1st Millennial Leader
By Associated Press
VIENNA — At age 31, Austrian Foreign Minister Sebastian Kurz is poised to become the first millennial...
Rais wa Jamhuri ya watu wa Rwanda Mh Paul Kagame amesema tangu ameingia madarakani amefanya kazi kubwa sana kuwaendeleza wananchi kupata fursa za kielimu,akihutubia kikao cha umoja wa mataifa juu...