Expansion joint!
Baada ya salam ya kikandarasi niende kweny hoja ilonileta....
Mtoto wa aliyekuwa rais wa Libya kwa takriban miaka 42 Bw Saif Al-I slam Gaddafi anatarajiwa kugombea urais wa nchi...
Some Israeli government analysts believe Iran already has at least on nuclear bomb, an Israeli journalist wrote in an article published Frida
Shalom Yerushalmi, writing in the national daily...
IRAN: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.2 limeikumba nchi hiyo hasa eneo la Kaskazini na kusababisha kifo cha Mtu mmoja na kujeruhi wengine 57.
> Tetemeko hilo limetajwa kuwa na kina cha...
Abstract
Uchaguzi wa 2013, ulioishia na ZANU-PF kuchaguliwa kwa majority, ulisumbwa na kupingwa kisa reports za vitisho kwa wapinzani. Lakini upinzani ulipoteza nguvu, kutengana, na kufifia kisa...
Vikosi vya Yemen vimefyatua kombora la balestiki aina ya Zilzala 2 kuelekea katika maficho ya mamluki wa Saudi Arabia katika wilaya ya Nihm mkoani Sana'a, magharibi mwa nchi na kuua idadi kubwa ya...
Wataalamu wanasema kuwa kitengo cha udukuzi ktk majeshi ya NK ni hatari zaidi kuliko hata mradi wao wa silaha za nyukila.
Wanadai kuwa kitengo hicho kina uweledi mkubwa wa kuharibu mipango ya...
Emani trading co. Ltd, Discount freight limited and Fair way Fresh limited are owned by a Kenyan known as Eric thuranira, his number +44 7449 941034. He is based in U.k. We agreed he will ship my...
Korea Kaskazini imetaja vikwazo vya hivi majuzi vya Umoja wa Mataifa dhidi yake ni kama vita na ni sawa na kuifungia kabisa nchi hiyo kiuchumi na imetishia kuwachukulia hatua kali nchi zote...
Korea Kaskazini imetaja vikwazo vya hivi majuzi vya Umoja wa Mataifa dhidi yake ni kama vita.
Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni ilisema kuwa hatua hizo zilikuwa ni kubwa na ngumu kwa uchumi kwa...
Obama, Sarkozy, Merkel unable to attend funeral due to air chaos
Radek Pietruszka / EPA
Dignitaries attend the Requiem Mass for Polish President Lech Kaczynski and his wife, Maria, in St...
One of the biggest shocks I have ever had since I came to Europe in 2002 was coming across a church-turned-pub in Aberdeen. Seriously, I felt angry and sad, that a ‘house of God’ had been turned...
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikifatilia sana kuhusu hawa jamaa wanaojiita waasi wa ADF. Nimeshindwa kupata jibu ni nani anawafadhili kipesa na siraha. Kama Museveni ni adui wao, Rwanda ni adui...
Source: Guardian
Russia will join an international investigation to determine whether the first Palestinian president, Yasser Arafat, was murdered, the current Palestinian leader, Mahmoud Abbas...
Mtu anayeshukiwa kuwa muuza madawa ya kulevya alijipa krismasi asiyoitaka wakati aliingia kwenye teksi akiwa na karibu misokoto 1000 ya bangi na kugundua kuwa alikuwa ameingi kwenye gari la polisi...
Ndege ya Kunlong AG600 ambayo ni ndege kubwa zaidi inayoweza kutua nchi kavu na majini ambayo imebuniwa na kutengeneza nchini China, imefanikiwa kuruka kwa majaribio leo.
Ndege hiyo ni kwa ajili...
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny, ameuambia mkutano mmoja mjini Moscow kwa uungwaji mkono mkubwa anaopata kwa sasa kote nchini Urusi unathibitisha kuwa yeye ndiye anafaa kuwa...
Bunge la Seneti la Marekani limepitisha mswada ambao ulidumu kwa kwa zaidi ya miongo mitatu.
Bunge la wawakilishi lilipitisha mswada huo mapema leo.Republican wana idadi kubwa ya wabunge nchini...
Sikukuu imeingia dosari huko Afghanistan!
Asubuhi hii, mtu mmoja aliyekuwa akitembea kwa miguu amejilipua jirani na zilizo ofisi za usalama wa taifa Katika mji wa Kabul na kuua raia wema...
Rais wa zamani wa Peru, Alberto Fujimori ameachiwa huru kwa msamaha wa Rais baada ya kutumikia kifungo chake kwa miaka takribani 12 (tangu 2005).
Fujimori alifungwa kwa kukutwa na hatia ya...