Leo Huko Kabul, wameua Washia 40 ambao walikuwa kwenye masomo yao ambayo hayawahusu Wasunni.
Je, kwanini muwafuate na kuwaua kwa Imani yao tu? Ni lazima wawafuate nyiyi? Tena ni suicide bomber...
Baada ya USA, UN &Co. kuiwekea vikwazo vya kiuchumi nchi ya Korea Kaskazini ikiwa ni pmj na kuzuia uingizwaji wa Mafuta nchini humo, sasa Marafiki wa kweli wa Korea Kaskazini wameonyesha sura zao...
Habari wanaJF.
Taifa la kaskazini magharibi mwa Africa la Liberia linafanya uchaguzi kwa Mara ya pili ili kumpata mshindi baada ya ule wa awali uliofanyika mwezi october kutotoa mshindi...
Vijana Wa Kiisrael wenye umri Wa kujiunga na jeshi (kwa lazima) wamemuandikia Netanyahu Waziri mkuu Wa nchi hiyo barua kupinga kujiunga na jeshi hilo wakitoa sababu Kuwa hawaoni sababu ya...
Rais mpya wa Liberia-Ndg George Weah kaufundisha Ulimwengu kuwa katika maisha hakuna kukata tama. Ikumbukwe kuwa katika uchaguzi wa mwaka 2005 George Weah aligombea Urais lakini alishindwa na...
Waziri wa uchukuzi nchini Israel anataka kuchimbwa reli ya chini kwa chini kwenye mji wa zamani wa Jerusalem karibu na Ukuta wa Magharibi na kupewa jina la Donald Trump.
Yisrael Katz alisema kuwa...
Kwa ufupi
Duru za habari zimenukuu Waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika, Don Yamamoto akisema Zimbabwe anapaswa kudhibiti uchumi wake na siyo kuendelea kutegemea sarafu ya nje.
Washington...
Kuna Wamarekani karibu 250,000 wanaoishi Korea ya Kusini ambao wote watakuwa ktk hatari kubwa (kabla ya wale waliopo nyumbani US) ikiwa vita itazuka. Katibu wa Halmashauri ya Usalama wa Kirusi...
Nimeweka Jedwari kuonesha jinsi nchi mbalimbali jinsi zilivosimamia Yale inayoyaamini bila kujali vitisho vya kukatiwa misaada.....Mpaka Tanzania nayo imepiga kura kuipinga marekani lakin...
HATIMAYE mwanasoka wa zamani wa Liberia, George Weah, ametimiza ndoto yake baada ya jana kuibuka mshindi wa kiti cha urais nchini Liberia.
Weah (51) ameibuka mshindi katika duru ya pili ya...
Watu takribani 40 wameuawa huko nchini Afghanistan kufuatia milipuko miwili ya mabomu ya kujitoa mhanga iliyotokea nchini humo.
Nchi ya Afghanistan kwa muda mrefu sasa imekuwa ikikumbana na...
Maafisa wa Libya wamethibitisha kuwa, wamemtia nguvuni kiongozi wa kundi la Daesh ambaye alikuwa akilifanyia kazi shirika la ujasusi la Israel, Mossad.
Maafisa wa Libya wamesema kuwa, Myahudi huyo...
Takribani Watu 40 wameuawa na wengine mamia kujeruhiwa baada ya kutokea kwa mlipuko katika Mji wa Kabul kwenye eneo lenye ofisi za mashirika na taasisi mbalimbali
Katika mlipuko huo Wanawake na...
Link:Top Houthi officers killed in port city
Top Houthi officers killed in port city
Ali Mahmood
December 27, 2017
Updated: December 27, 2017 08:00 PM
The Yemeni army has killed two...
Huyu ni waziri mkuu wa zamani wa israel Ariel sharon tokea alipozimia mwaka 2006 hadi leo hajazinduka japo mapigo ya moyo bado yanafanya kazi. Ila kwa sasa hali yake ni mbaya sana na uwezo wa...
Misri imewanyonga Wanajeshi 15 walipotakina na hatia ya kuhusika na shambulio dhidi ya vikosi vya kulinda amani huko Sinai.
Wanajeshi hao walitekeleza tukio hilo mnamo mwaka 2013. Tukio la...
Afisa wa polisi aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha Khorfarar kilichopo katika kaunti ya Wajir, amejitoa uhai Jumapili jioni nyumbani kwake katika kijiji cha Kirigi, Kaunti ya Tharaka Nithi...